Wana board
Serikali ya Jamhuri ya Korea imetoa msaada wa Dola za Marekani elfu hamsini sawa na 108milioni kwa ajili ya waathirika wa tetemeko la ardhi lilitokea mkoani Kagera.
Zimekabidhiwa kwa Waziri wa Mambo ya Nje.. Mhe.Balozi Mahiga
Kaskazini kwa yule bwanamdogo mtata ole wenu zisiwafikie walengwa.atawatumieni komboraKorea kusini au kaskazini??