mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 87,223
- 120,755
Huko sasa hivi ataibuka traore wao atafanya kweli na kuondoa😅😅😅unaweza zani Tz ndio nchi ya ovyo zaidi .kumbe kuna nchi za ovyo plus Rais anaishi france
Upuz huo
Ova
Huko sasa hivi ataibuka traore wao atafanya kweli na kuondoa😅😅😅unaweza zani Tz ndio nchi ya ovyo zaidi .kumbe kuna nchi za ovyo plus Rais anaishi france
Cameroon inalindwa sana na Ufaransa. Vigumu mtu kama Traore kutokea anahitaji back up ya nchi kama Urusi.Huko sasa hivi ataibuka traore wao atafanya kweli na kuondoa
Upuz huo
Ova
Magu alipohamia hapo chato tu ilikua balaa. Huyu anaishi nje ya bara kabisa.Nchini Ufaransa ambao amekua akiishii dah africa tunamambo raisi wa cameroon anaishi ufaransa
View attachment 3121581
Serikali ya Cameroon imepiga marufuku mijadala ya umma kuhusu afya ya Rais Paul Biya, ikilitaja kuwa suala la usalama wa taifa.
Waziri wa Utawala wa Wilaya wa Cameroon, Paul Atanga Nji alisema katika taarifa yake siku ya Alhamisi kwamba mkuu wa nchi ndiye taasisi ya kwanza ya jamhuri na mjadala wowote kuhusu afya yake ni suala la usalama wa taifa.
Maagizo hayo yanakuja wakati Mamlaka zikiendelea kukana uvumi kuwa kiongozi huyo mkongwe mwenye umri wa miaka 91 amefariki dunia akiwa Nchini Ufaransa ambako amekuwa akiishi.
Cameroon’s government has banned public discussions about the health of President Paul Biya, terming it a national security issue.
The directive comes as the authorities continue to dispel rumours that the 91-year-old veteran leader has died in a foreign country.
Cameroon’s Minister of Territorial Administration, Paul Atanga Nji said in a statement on Thursday that the head of state is the first institution of the republic and any debate about his health is a national security issue.
“All debate in the media about the health of the President of the Republic is consequently formally prohibited,” Atanga Nji said, warning that “offenders will have to face the rigour of the law”.
The minister directed regional governors to create monitoring units to record programmes and debates in the private and social media and identify authors of “tendentious comments”.
Social media has been inundated with discussions about the poor health and of the Cameroonian leader, who has been away from public view since he was seen on television leaving Beijing on September 8, after participating in the Summit on China-Africa Cooperation (Focac).
On Tuesday, the government said the leader was in an excellent state of health and would be back in the country “in the next few days”.
The Minister of Communication and Government Spokesperson Rene Emmanuel Sadi said: “The government of the republic unequivocally affirms that these rumours are pure fantasy and imagination on the part of their authors and hereby wishes to formally debunk such rumours.”
He said that President Biya had granted himself a brief private stay in Europe after the Focac, in which he took an active part.
“However, he remains, as usual, and wherever he may be, attentive to the development of national life,” the minister added.
In a separate release, Samuel Mvondo Ayolo, director of the President’s Cabinet added that: “the Head of State continues to exercise his duties in Geneva and has never departed the city following his visit to Beijing.”
Cameroonians are not new to the President’s “brief private stay in Europe” as his Cabinet always announces, though the duration is usually the opposite of what is announced. The latest disappearance of close to 40 days now however has aroused Cameroonians’ interest.
In July, he attended the opening of the Paris Olympics in Paris, where he was seen on television sitting in the rain. He would return to the French capital where he spoke at the 80th anniversary of Débarquement de Provence, commemorating African soldiers’ First World War contribution in the south of France alongside President Emmanuel Macron in August, before shuttling to Beijing in early September.
He was expected in New York for the 79th United Nations General Assembly, but he did not show up. Albeit confirmation of his presence, according to diplomatic sources, he did not also take part in the 19th Francophonie Summit in France earlier this month.
At a reception to mark the German National Day in Yaoundé on October 1, the German Ambassador to Cameroon Corinna Fricke said that President Biya was going take part in the Hamburg Sustainability Conference that ended on Tuesday. Again, Biya did not show up and was represented by the Prime Minister, Joseph Dion Ngute.
king'ang'anizi wa madaraka kama Mbowe tu 🤣
king'ang'anizi wa madaraka kama Mbowe tu 🤣
Ndiyo mentor wa chairman Mbowe huyo dah kuhusu jinsi ya kubadili katiba na kung'ang'ana na madaraka hata kama hutakiwi 🤣
unaficha ugonjwa gani katika umri wa miaka 91 gentleman?Huoni suala hapa ni kwenye kuficha ugonjwa?
Hawa wanawanyima wananchi wake kumwombea labda akiugulia hospitali kama mlivyofanya ninyi tu!
unaficha ugonjwa gani katika umri wa miaka 91 gentleman?
kwani mbowe kwa miongo kadhaa aliyoiongoza chadema kweli anaweza kua na jambo au wazo na mipango mikakati mipya kweli?
Mbowe ana tofautiana nini sasa na hyo kiongozi king'ang'anizi wa nchi hiyo?🐒
kwani huyo kiongozi muhafidhina wa kiimla, mzee wa kucheza na katiba wa miaka 91 amechokwa na wakameroon? ndio huyo mwenzake wa Chadema mbadilisha katiba apendwe?🤣Sasa kama hana mipango mikakati mipya si ndiyo vizuri kwenu sasa ili muendelee kupata zote za ndiyo?
Au ndiyo tuseme mmechoka sasa kupata ushindi na mngetaka wawepo wazuri zaidi ili angalau hatimayr nanyi mshindwe?
kwani huyo kiongozi muhafidhina wa kiimla, mzee wa kucheza na katiba wa miaka 91 amechokwa na wakameroon? ndio huyo mwenzake wa Chadema mbadilisha katiba apendwe?🤣
Sio tuliwahishwa,,,,,,mkoloni alitengeneza kwanza ma puppet wake halafu akazuga anayapa uhuru makoloni yake,,,, kwa kipindi kile kutawala mwenyewe direct ilianza kua shida akaona bora atengeneze virimoti,,,,ndo maana wasomi wengi wa mwanzoni walichaguliwa toka koo flani au makabila fulani influencial ili baadae waendelee kutetea maslahi ya wakubwaYaleyale "mnamuuliza mnataka kumuona kariakoo"??
Ukiona kauli hizo ujue ni jazba hizo na hapo kuna kitu kikubwa kinaendelea teyari.
Ila africa sijui kwanini tuliwahishwa kupata uhuru bado sanasana.
kwani hiyo si sawa tu na ile ya Chadema, kwamba sumu haionjwi kwa ulimi kuhusu mtu mwingine yeyote kutaka kugombea uenyekiti wa Chadema Taifa au unataka mpigwaje biti la kisiasa?🐒Zingatia kumepigwa marufuku kujadili ugonjwa wake si katiba, copy and paste kutokea CCM!
kwani hiyo si sawa tu na ile ya Chadema, kwamba sumu haionjwi kwa ulimi kuhusu mtu mwingine yeyote kutaka kugombea uenyekiti wa Chadema Taifa au unataka mpigwaje biti la kisiasa?🐒
huyo kiongozi wa kiimla wa kameroon unawezaje kumtofatisha na mbadilisha katiba muhafidhina wa Chadema?Utakuwa umeishiwa hoja.
Magoli hayahami.
Kuna ndugu yasemekana anaumwa ole wake atakaleta fyoko fyoko kuulizia hali ya afya yake.
Hiyo hata kwetu upo ushahidi kuwa ni nyara ya serikali ya CCM!
Hahaaaaaa aisee nibalaa tupuuAfrika kum.a-nioko
Ni hatari mkuu machawa wake wanataka wamuongeze misaba tena apende asipende yawezekana mungu keshaamua huo ugomvi wa bia kuongezwa miaka saba tenaMagu alipohamia hapo chato tu ilikua balaa. Huyu anaishi nje ya bara kabisa.