Maandamano kwa awamu hii yanatisha! Jamaa anaweza akateketeza watu wengi na wengine kuwavunjavunja. Reference ni jaribio la UKUTA si ulimwona alivaa sura ya maangamizi hadi mbowe akarejea nyuma.Uoga wetu ndio umetufikisha hapa. Tunalalamika sana lakini hatufanyi matendo kama kuandamana. Tunasubiri uchaguzi ambao mshindi ameshapangwa.