Mchuja Nafaka G
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 763
- 253
yule tutamuacha kwa maslahi ya nchiMmoja yuko pale juu kwenye kiti cha Bunge.............
yule tutamuacha kwa maslahi ya nchiMmoja yuko pale juu kwenye kiti cha Bunge.............
Nakubaliana na mwenzangu, kuwa kama hii style ya kusaini na kasha kugoma kuendelea na vikao vya bunge wasilipwe posho yoyote, kwani wananchi hatujawatuma kugoma. Posho wasipewe la sivyo itaonekana wanakwenda kus-sign posho afu wanaondoka, nashauri wasikubali kugoma mjengoni DDM hadi kieleweke.hatupungi ninyi kufanya hayo. lakini tumegundua yafuatayo:
MSITUFANANISHE WATANZANIA NA MISUKULE, TUNAFAHAMU SANA KINACHOENDELEA...MATAMKO HAYA MENGI LENGO LAKE NI KUWAFUMBA MACHO WACHACHE WAJINGA ILI CHAMA CHA MAQJIPU KIPENYEZE NA KIFANIKISHE 1. UPORAJI WA HAKI YA WAZENJI 2. HILA ZA KUDUMAZA DEMOKRASIA 3. HUBINYA UHURU WA VYOMBO VYA HABAR. KUPENYEZA UTAWALA WA KIIMLA
RAI: WATANZNIA WOTE WENYE KUONA NA KUSHITUKIA MBINU HIZI KWA PAMOJA TUPAZE SAUTI ZETU KUPINGA NJAMA HIZI OVU!!!
Maadam wamefungua mlango wa wananchi kupeleka taarifa za ufisadi
na mafisadi tunaowafahamu,wananchi tuanze na majaji na mahakimu
tumalizie na mapolisi ambao wanamiliki vitu vikubwa zaidi ya mishahara yao.
Hawa wakishasafishwa tukiwapeleka mafisadi wengine watakuwa hawana watu wa kuwaonga
na hivyo hatua stahiki zitachukuliwa,lakini kwa mfumo tulio nao
mafisadi watumwaga fedha zaidi kwa viongozi wa mahakama na polisi
na hivyo tutaishia kuletewa stories zisizokuwa na mwisho(Isidingo)
hatupungi ninyi kufanya hayo. lakini tumegundua yafuatayo:
MSITUFANANISHE WATANZANIA NA MISUKULE, TUNAFAHAMU SANA KINACHOENDELEA...MATAMKO HAYA MENGI LENGO LAKE NI KUWAFUMBA MACHO WACHACHE WAJINGA ILI CHAMA CHA MAQJIPU KIPENYEZE NA KIFANIKISHE 1. UPORAJI WA HAKI YA WAZENJI 2. HILA ZA KUDUMAZA DEMOKRASIA 3. HUBINYA UHURU WA VYOMBO VYA HABAR. KUPENYEZA UTAWALA WA KIIMLA
RAI: WATANZNIA WOTE WENYE KUONA NA KUSHITUKIA MBINU HIZI KWA PAMOJA TUPAZE SAUTI ZETU KUPINGA NJAMA HIZI OVU!!!
Mtatumbuliwa tu, subiri muda wako!Nmesikia eti watumishi wa umma walio na ukwasi watachinguzwa. Hivi wanadhani hizi ni zile enzi za Nyerere watu walikuwa wanaunga foleni kupata sabuni? Siku hizi watu wanafanya biashara zao hata kama ni mfanyakazi, mikopo iko kibao mfano kuna utaratibu wa SACCOS kukopeshwa na PPF halafu wanasaccos wanakopa mara 5 ya akiba yake. Ukiwa na milion 6 unakopeshwa mil 30. Kama huyu ni mfanyakazi kwa nini asiwekeze? Haya ni mambo ya kizamani sana. Sio wafanyabiashara tu wanatakiwa kuwa na mali.
Watajidai hawajaona na hajakusikiaMmoja yuko pale juu kwenye kiti cha Bunge.............
nimeipenda hii mkuu....wasiwasi wangu ni ikiwa kweli wanaweza. maana mafisadi nchi hii either ni maswahiba wa ikulu au watumishi wa serikali (hata hao wanaotishia kufilisi) wanaweza kuwa walipewa nafasi hizi au waliteuliwa kwa kujuana juana ambao nao ni ufisadi au kwa influence ya mafisadi...Chuki hazisaidii, ungesema watende haki kwa wote. Mtu aadhibiwe kwa kosa alilofanya.
Kuna ile Hali ya wasiwasi ambayo watu wanakua nayo kwamba pengine itatokea fujo nk , hali hii huwafanya wafanya Biashara kupunguza na wengine kuacha Biashara hadi Uchaguzi uishe , Hali hii husababisha upungufu wa bidhaa Sokoni na kupelekea mfumuko wa Bei .Nauli za mabasi na daladala zimepanda? Nauli za meli nazo zimepanda? kama hilo halipo basi mfumuko wa bei hakuna hayo mengine maigizo hebu nichambulie kwa ufasaha bila jazba wala ushabiki kufutwa kwa matokeo ya uchazi kumesababishaje kupanda kwa vitu??? Nakuomba unielewshe pengine kwa ujinga wangu sielewi. Maana sioni uhusiano wa tangazo la Jecha na biashara KWA MFANO SUKARI ILIKUWA INAUZWA SHILI ELFU MOJA JECHA ALIVYOFUTA MATOKEO ASUBUHI MFANYA BIASHARA AKASEMA LEO SUKARI NI ELFU MBILI NA WOTE WAKAFANYA HIVYO MKUU INAWEZEKANAJE HILO NISAIDIE???