Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,557
- 34,209
Nikiamini kwamba ulinzi wa taifa unaanza na sisi raia. Na kila raia ana wajibu wa kulilinda taifa.
Ninaomba kuiuliza serikali hii milipuko mikubwa inayosikika kila siku nyuma ya milima ya uluguru ni ya nini?
Kila siku kwa muda wa miezi miwili sasa kuna milipuko mikubwa sana nyuma ya Milima ya Uluguru inayoinamia eneo la kilakala na bong'ola.