Serikali: Tumemuondoa Bi. Awa Dabo wa UNDP kwa kutokuwa na Maelewano na watendaji ofisini kwake

Tehteh! Serikali imeshindwa kuona kutoelewana kwa "watumishi" wa CUF imeona kutokuelewana kwa UNDP, imeshindwa kuona kutokuelewana kwa Bashite na wananchi pamoja na Media kiasi ya kwamba wananchi leo hawapati habari za Mkoa wao na kuzorotesha maendeleo, eti wameona kutokuelewana kwa UNDP! Kazi kwelikweli.
 
Taarifa hii inachanganya zaidi.Kuna uwezekano hao watumishi wenzake ndio wenye matatizo.Nadhani jukumu la kutathmini nani anafaa kuitumikia UNDP ulitakiwa ufanywe na UN baada ya kufanya uchunguzi wao.
Why are you so negative?
Kwa nini usituelezee unachokijua zaidi ya kutuelezea mambo ya guess, Una ushahidi wowote hao watumishi wa serikali ndio wenye tatizo?!

Na sio serikali ndio imemwondoa ni mwajiri wake! UNDP nao wanafuata sheria za kazi za UN. Serikali ilipo wataarifu nao wana taratibu zao kufuata kuhahakisha hawamwonei mfanyakazi wao.

UNDP wangeweza kukataa malalamiko ya serikali kama wangeona hakuna ukweli!
 
Hivi maendeleo ya wananchi wa Tanzania.yanaletwa na mkurugenzi wa UNDP.kwa hyo kwa kuwa alikuwa haelewani na wenzie ndo tumechelewa kupata maendeleo.kwa hyo mlivyomfukuza ndo tutapata maendeleo?
UNDP inachangia kwenye kuleta maendekeo ya Tanzania au wewe unafikiari maendeleo ya Tanzania yanaletwa na nini?
 
Haya bwana, let us hope on this scenario time will be 'blind' and won't tell!
Kwa maana hiyo serikali siku hizi inahusika na internal control ya taasisi tena kubwa yama za UN kwamba wafanyakazi 'wasipoelewana' yule aliyesababisha anaondolewa!?
 
Mbona bwana yule ambaye alichukua form peke yake bila kushauriwa na mtu hana mahusianao mazuri na wafanyakazi wa umma na wafanyabiashara lakini yupo
 
Back
Top Bottom