Lukansola Motoka
New Member
- Jan 26, 2016
- 1
- 0
kama mlikuwa mnajua i mean kama hamkuwa na nia ovu..why hamukuwaita mezani na kufanya discussion nao?.do u think we trust u just becouse mumechukua action ya kijinga kiasi hichi?
Hii si leo wala kesho huku Acacia daily losses stand at Tshs 2 bill a day!Serikali imesema ikishindwa kujenga mitambo ya kuchenjua makinikia itakaribisha wawekezaji kufanikisha mchakato huo.
Msimamo huo umetolewa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Juni Mosi, alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Tabora Mjini, Emmanuel Mwakasaka aliyetaka kujua hatma ya zuio la usafirishaji wa makinikia hayo.
"Lengo la zuio hili ni Serikali kujiridhisha juu ya wasiwasi wa wananchi mkiwamo wabunge ambao mmekuwa amkiuliza maswali mengi.
“Baada ya uhakiki huu na ushauri wa wataalamu tutaona kama Serikali inaweza kujenga mitambo hiyo kwenye maeneo yanayotoa mchanga huo kwa wingi. Ikishindwa, tutakaribisha wawekezaji," amesema Majaliwa.
Tangu Machi 3 Serikali ilizuia usafirishaji wa makinikia na kuunda tume mbili kuchunguza ukweli wa taarifa za kilichomo pamoja na mapato stahiki yanayolipwa serikalini.
Chanzo: Mwananchi
Nimesikiliza majibu ya Waziri Mkuu hakika ni majibu mujarabu kabisa.Serikali imesema ikishindwa kujenga mitambo ya kuchenjua makinikia itakaribisha wawekezaji kufanikisha mchakato huo.
Msimamo huo umetolewa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Juni Mosi, alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Tabora Mjini, Emmanuel Mwakasaka aliyetaka kujua hatma ya zuio la usafirishaji wa makinikia hayo.
"Lengo la zuio hili ni Serikali kujiridhisha juu ya wasiwasi wa wananchi mkiwamo wabunge ambao mmekuwa amkiuliza maswali mengi.
“Baada ya uhakiki huu na ushauri wa wataalamu tutaona kama Serikali inaweza kujenga mitambo hiyo kwenye maeneo yanayotoa mchanga huo kwa wingi. Ikishindwa, tutakaribisha wawekezaji," amesema Majaliwa.
Tangu Machi 3 Serikali ilizuia usafirishaji wa makinikia na kuunda tume mbili kuchunguza ukweli wa taarifa za kilichomo pamoja na mapato stahiki yanayolipwa serikalini.
Chanzo: Mwananchi
we nawe uelewi kabisaMimi nilijua mbwembwe zote wana hela ya kutengeneza huo mtambo kumbe nao ni wakuomba kwa wa fadhili,kweli akili za kushikiwa na kutafuta Kick hazina faida.
Magumashi alikengeuka, au PM anamaanisha nini?
Wapi amepiga Magoti alisema awamu ya Pili ndo itatoa maamuzi never play with Magufuli. Acacia now chasing her tail.