Serikali mnaonaje mkiweka kodi za kuagiza magari ziwe kama mtindo huu

Eli Cohen

JF-Expert Member
Jun 19, 2023
5,447
16,689
Gari za mwaka 1 hadi 3 = 7 million
Gari za mwaka 4 hadi 6= 6 million
Gari za miaka 7 hadi 9 = 5 million
Gari za mwaka 10 hadi 12 = 4 million
Garia za miaka 13 hadi 15 = 3 million

Hairuhusiwi kununua gari iliotengenezwa zaidi ya miaka 15.


NOTE: Kutokana na kupungua kwa kodi, Idadi ya Watu kununua magari itaongezeka maradufu na zaidi watapambana kununua latest (yenye kodi kubwa) thus kupelekea kutoumia na kushuka kodi bali ongezeko and ongezeko zaidi na zaidi huko mbeleni.
 
Back
Top Bottom