Serikali, mikataba ya DP World haikuwa na ulazima wowote kuitangaza. Msirudie hili kosa kabisa nchi yetu bado ni ya wapiga makelele…

Mganguzi

JF-Expert Member
Aug 3, 2022
1,412
3,476
Mimi sioni sababu ya kila mkataba wa kimaendeleo au ubinafsiahaji kuuweka hadharani ,ninani anavujisha hii mikataba ? Sisi tuna watu wa hovyo wanaotafuta umaalufu kwa Kila kitu ..tusirudie kuleta taharuki ,kama hii dp world mngemaliza kimya kimya hakukuwa na sababu ya kuweka wazi ,hata sisi tusioelewa kitu tunavimba nao mitaani..dp world imekuwa ndio story ya kudanganya hata wake zetu majumbani ...watu wanaenda mbali na kudai nchi imeuzwa ,,mtu anaposema serikali imeuza nchi kwa Nini asikamatwe alete ushahidi wa nchi iliyouzwa?
 
Mimi sioni sababu ya kila mkataba wa kimaendeleo au ubinafsiahaji kuuweka hadharani ,ninani anavujisha hii mikataba ? Sisi tuna watu wa hovyo wanaotafuta umaalufu kwa Kila kitu ..tusirudie kuleta taharuki ,kama hii do world mngemaliza kimya kimya hakukuwa na haja ya kuweka wazi ,hata sisi tusioelewa kitu tunavimba nao mitaani
We we ni Ng'ombe
 
Mimi sioni sababu ya kila mkataba wa kimaendeleo au ubinafsiahaji kuuweka hadharani ,ninani anavujisha hii mikataba ? Sisi tuna watu wa hovyo wanaotafuta umaalufu kwa Kila kitu ..tusirudie kuleta taharuki ,kama hii dp world mngemaliza kimya kimya hakukuwa na sababu ya kuweka wazi ,hata sisi tusioelewa kitu tunavimba nao mitaani..dp world imekuwa ndio story ya kudanganya hata wake zetu majumbani ...watu wanaenda mbali na kudai nchi imeuzwa ,,mtu anaposema serikali imeuza nchi kwa Nini asikamatwe alete ushahidi wa nchi iliyouzwa?
Naunga mkono hoja na aliyevujisha asakwe
 
Akili yako kisoda!
Serikali inaposhindwa kwenye kesi ( disputes) kwenye mikataba ya hovyo ya Siri huko Duniani mbona huwa Dunia ututangazia!

Nchi hii imekwama kwa kuwa na watu wengi wenye akili ndogo kama wewe, yule mwenyekiti wa CCM nyamagana anayetaka Waarabu waje haraka wachanganye damu na yule Mama Mwenezi wa CCM Taifa anayeuliza maswali ya kipumbavu kama vile mbona Bandari haijawekwa kwenye kiroba kama imeuzwa!
 
Mimi sioni sababu ya kila mkataba wa kimaendeleo au ubinafsiahaji kuuweka hadharani ,ninani anavujisha hii mikataba ? Sisi tuna watu wa hovyo wanaotafuta umaalufu kwa Kila kitu ..tusirudie kuleta taharuki ,kama hii dp world mngemaliza kimya kimya hakukuwa na sababu ya kuweka wazi ,hata sisi tusioelewa kitu tunavimba nao mitaani..dp world imekuwa ndio story ya kudanganya hata wake zetu majumbani ...watu wanaenda mbali na kudai nchi imeuzwa ,,mtu anaposema serikali imeuza nchi kwa Nini asikamatwe alete ushahidi wa nchi iliyouzwa?
Tatizo la afya ya akili ni kubwa mno huko MCC
 
Mimi sioni sababu ya kila mkataba wa kimaendeleo au ubinafsiahaji kuuweka hadharani ,ninani anavujisha hii mikataba ? Sisi tuna watu wa hovyo wanaotafuta umaalufu kwa Kila kitu ..tusirudie kuleta taharuki ,kama hii dp world mngemaliza kimya kimya hakukuwa na sababu ya kuweka wazi ,hata sisi tusioelewa kitu tunavimba nao mitaani..dp world imekuwa ndio story ya kudanganya hata wake zetu majumbani ...watu wanaenda mbali na kudai nchi imeuzwa ,,mtu anaposema serikali imeuza nchi kwa Nini asikamatwe alete ushahidi wa nchi

Mimi sioni sababu ya kila mkataba wa kimaendeleo au ubinafsiahaji kuuweka hadharani ,ninani anavujisha hii mikataba ? Sisi tuna watu wa hovyo wanaotafuta umaalufu kwa Kila kitu ..tusirudie kuleta taharuki ,kama hii dp world mngemaliza kimya kimya hakukuwa na sababu ya kuweka wazi ,hata sisi tusioelewa kitu tunavimba nao mitaani..dp world imekuwa ndio story ya kudanganya hata wake zetu majumbani ...watu wanaenda mbali na kudai nchi imeuzwa ,,mtu anaposema serikali imeuza nchi kwa Nini asikamatwe alete ushahidi wa nchi iliyouzwa?
We jamaa zero kabisa
 
Pole sana kwa maumivu unayopitia. Ila kwa taarifa yako fupi, huo mkataba wa kimangungo haukutangazwa na hiyo serikali yako ya kifisadi kama unavyofikiri.

Kuna Mzalendo mmoja tu aliuvujisha, na mwisho wa siku Watanganyika wakaona watoke usingizini, na kuanza kuupigia kelele.
 
Mimi sioni sababu ya kila mkataba wa kimaendeleo au ubinafsiahaji kuuweka hadharani ,ninani anavujisha hii mikataba ? Sisi tuna watu wa hovyo wanaotafuta umaalufu kwa Kila kitu ..tusirudie kuleta taharuki ,kama hii dp world mngemaliza kimya kimya hakukuwa na sababu ya kuweka wazi ,hata sisi tusioelewa kitu tunavimba nao mitaani..dp world imekuwa ndio story ya kudanganya hata wake zetu majumbani ...watu wanaenda mbali na kudai nchi imeuzwa ,,mtu anaposema serikali imeuza nchi kwa Nini asikamatwe alete ushahidi wa nchi iliyouzwa?
Kwani ni uongo????Subiri uolewe na Waarabu ndiyo uamini.
 
Majitu yaliyozoea kuishi kikondoo kondoo ndo haya sasa.

Jitu halijui hata kuwa kupata taarifa za mambo yanayoendelea kwenye nchi yake ni haki yake ya kikatiba.

Mtaburuzwa sana kwa mentality hii.
Mbona kwa magufuli mlikuwa kimya?
 
Mimi sioni sababu ya kila mkataba wa kimaendeleo au ubinafsiahaji kuuweka hadharani ,ninani anavujisha hii mikataba ? Sisi tuna watu wa hovyo wanaotafuta umaalufu kwa Kila kitu ..tusirudie kuleta taharuki ,kama hii dp world mngemaliza kimya kimya hakukuwa na sababu ya kuweka wazi ,hata sisi tusioelewa kitu tunavimba nao mitaani..dp world imekuwa ndio story ya kudanganya hata wake zetu majumbani ...watu wanaenda mbali na kudai nchi imeuzwa ,,mtu anaposema serikali imeuza nchi kwa Nini asikamatwe alete ushahidi wa nchi iliyouzwa?

Hata ww haujui khs hili la DP World.
Sasa hapa jamvini utaweza kujieleza?
Muhimu jipe umuhimu wa kujisomea Vitabu tofauti uweze kujiongeza ufahamu wako wa masuala mbalimbali.
 
Mimi sioni sababu ya kila mkataba wa kimaendeleo au ubinafsiahaji kuuweka hadharani ,ninani anavujisha hii mikataba ? Sisi tuna watu wa hovyo wanaotafuta umaalufu kwa Kila kitu ..tusirudie kuleta taharuki ,kama hii dp world mngemaliza kimya kimya hakukuwa na sababu ya kuweka wazi ,hata sisi tusioelewa kitu tunavimba nao mitaani..dp world imekuwa ndio story ya kudanganya hata wake zetu majumbani ...watu wanaenda mbali na kudai nchi imeuzwa ,,mtu anaposema serikali imeuza nchi kwa Nini asikamatwe alete ushahidi wa nchi iliyouzwa?
Wewe ni paka wa mayai mpuuzi kabisa wewe
 
Back
Top Bottom