conservative3
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 1,129
- 790
je kwenye bajeti yamenunuliwa mangapui magari ya kifahari?unazan mabadiliko ni kulala na kuamka?unafikiri yaliyopo kwemye mzunguko yapelekwe wapi?je ushawai kufikiria ubora wa gari,aina ya majukum na comfortability ya mtumishi?