Serikali kutafiti maeneo sita kwa bilioni 3.5, yamo usugu wa dawa, saratani na nguvu za kiume

Replica

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
1,664
8,799
Serikali imetenga bilioni 3.5 katika bajeti ya wizara ya afya kusimamia tafiti na matumizi ya matokeo ya tafiti mbalimbali katika afua za:
  1. Tafiti za magonjwa yasiyoambukiza ikiwemo saratani
  2. Ufuatiliaji wa usugu wa vimelea dhidi ya dawa
  3. Utafiti juu ya changamoto ya afya ya akili
  4. Matumizi ya Energy Drink
  5. Utafiti kuhusu nguvu za kiume
  6. Utafiti kuhusu dawa za tiba asili
492abf63-fac1-4f6a-b8d1-530c5b0b63f2.jpeg
 
Inamaana siku zote hatufanyi tafiti? Tafiti inapaswa kuwa sehemu ya maisha ya Kila siku na sio zimamoto kila jambo linapokuwa out of control, tuache kuwa reactive, tujaribu kuwa proactive sasa.
 
Back
Top Bottom