chlorine gas
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 2,496
- 2,608
Ndugu wananzengo habari ya asubuhi ,
Jamani wazazi tunatakiwa kuwa makini sana pale linapofikia suala la kuwatafuti watoto wetu vyuo kwa ajiri ya kupata ujuzi mbali mbali haya ninayoyasikia kutoka kwa wanafunzi ni hatari sana,wanafunzi wamekuwa wakilalamika kunyimwa uhuru wa kuhoji na mbali zaidi kimekuwa na Sheria kandamizi kwa wanafunzi ,mfano wameweka mkesha wa kidini siku ya ijumaa kwa wanachuo usipohudhuria kwa Kila saa unalipishwa sh 3000 kwa masaa ambayo hutohudhuria, hii sio fair kbsa hiki chuo kitazamwe na sherikali Kuna mengi yanaendelea kwenye uongoz wa chuo