Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,766
Mawaziri wote wanatumika kisiasa bila ya kujitambua , hawana wanachofanya kule Dodoma miradi inaenda kwa kasi hapo Arusha kutwa miradi inapelekwa.Ogopa sana kujadili hoja iliyoambatana na Udini ndani yake.
Unasema ulienda Tanga miaka ya 90 then ukaenda 2010
Wakati huo Rais wa Tanzania alikuwa Ali Hassan Mwinyi
Then ulipoenda tena Mwaka 2010 Rais alikuwa Jakaya Mrisho Kikwete
Lakini kwenye maelezo yako unamlaumu Nyerere 🙌
Kwanini hao ambao walikuwa madarakani hawakuweza kuijenga hiyo Tanga?
Awamu hii pekee, Mkoa wa Tanga una Mawaziri zaidi ya 4, vyema hao washirikiane kuinfluence maendeleo ya Mkoa wao badala ya kuendelea kumlaumu Mzee Nyerere
Wajanja na diaspora wengi wanatokea TangaWakazi Wa Tanga ni wavivu sana Wana uswahili. Na hawazingati elimu
Basi wameshindwa kuwa organizedMawaziri wote wanatumika kisiasa bila ya kujitambua , hawana wanachofanya kule Dodoma miradi inaenda kwa kasi hapo Arusha kutwa miradi inapelekwa.
Uwanja mkubwa bado kituoa cha madini ,jengo la posta ...Huku Tanga miaka karibia 25 hamna hata jengo la floor mbili limejengwa.
Serikali haitambui jiji la Tanga ipo wazi kabisa, hata ubishe !Basi wameshindwa kuwa organized
Wenzao walipokuwa na madaraka waliweza ku-influence maendeleo kwenye maeneo yao
Watambue Kuna maisha baada ya kustaafu Siasa zao, lazima watarudi Vijijini kwao otherwise wote wahamie DSM
Hata kama hautambuliki kuwa ni Jiji, kulikuwa na haja wenyeji waanze kuupa kipaumbele Mkoa wao Kwa kuvutia shughuli za Uwekezaji Kwa kutangaza vivutio vilivyopo.Serikali haitambui jiji la Tanga ipo wazi kabisa, hata ubishe !
HakikaChadema wasikilizwe sera Yao ya majimbo.serikali ya majimbo ni nzuri sana katika ugawaji rasilimali za taifa.
Wenyeji wapo kibao ila bado ni changamoto...Hata kama hautambuliki kuwa ni Jiji, kulikuwa na haja wenyeji waanze kuupa kipaumbele Mkoa wao Kwa kuvutia shughuli za Uwekezaji Kwa kutangaza vivutio vilivyopo.
Wana akili sana ,pesa zote zinapelekwa Dodoma maana hata viongozi wana miradi yao hukoChadema wasikilizwe sera Yao ya majimbo.serikali ya majimbo ni nzuri sana katika ugawaji rasilimali za taifa.
Sasa kama hamtaki kuzaa au kuvutia population ni hasara Kwa Serikali kuweka miundombinu high class hapo Tanga.Habari ndugu zangu wa JF,
Kwanza niseme ile haki, serikali ya Tanzania haitamabui uwepo wa jiji la Tanga katika uhalisia bali linabaki katika maneno.
Huu ni ukweli ambao watu wengi hawaufahamu, ushahidi kutoka ndani kabisa ni kwamba serikali haina mpango na wala haitambui uwepo wa jiji hilo ...Kuna mpango wa kuwezesha miji mingine ikuwe zaidi kufika mbali ila Tanga haitofanyiwa lolote la maana.
Nimeishi Tanga miaka ya 90's na nilirudi tena mwaka 2010, kusema ule ukweli hamna cha maana serikali inafanya haswa kweny miundombinu , baadhi ya mambo ni serikali kutupilia mbali jitihada kuwezesha jiji hilo kwa level za juu kumbuka lilikuwa jiji kabla ya Dodoma na Arusha, kitu gani serikali imefanya kuleta tija ya mji huo zaidi ya kupeleka miradi mikubwa Arusha, Dar es salam, Dodoma.
Kutojengwa kwa miundombinu yeyote kwa mda wa miaka 20 na zaidi, ebu fikiria ni miaka zaid ya 20 hakuna hata jengo jipya wakati kaangalie ndani ya Arusha projects kibao na mji unapigwa promotion ya utalii mpaka jengo la wizara ya utalii limepelekwa kule... Ukifanya tathmini utaona kiukanda bandari ya Tanga ipo karibu na ya Mombasa ambayo ingeweza kuleta ushindani ila wapi imekufa mpaka Magufuli ndio amekufa kuifufua miaka kibao.
Chanzo kikubwa cha awali ni Nyerere, alikataa kuujenga mji huo kutokana na idadi kubwa ya wakazi wa nji huo walikuwa jamii na din fulani, hii ingemletea upinzani mkubwa kwake kwa hofu , hili pia lilipelekea yeye kuchukua kuunganisha kisiwa cha Zanzibar.
Katika miradi ya muendelezo wa majiji kweny miundombinu kwa mwaka wa fedha 2024/2025, Tanga pekee ndio haipo.Huu ni waziri innocent anaonyesha wazi ubaguzi.
Ombi langu: Serikali ishushe hadhi ya mji wa Tanga kwa vile haina mapngo wa kufanya lolote kuasapot mji huo na haipo kweny mipango, ni aibu kuita jiji kwa kweli.
View attachment 2957167