Serikali iruhusu uchunguzi huru uanze upya kuhusu kupotea kwa Ben Saanane na shambilio la risasi dhidi ya Tundu Lissu

Dec 11, 2024
61
182
Kinachoendelea sasa kuhusu Ben Saanane ni masikitiko Sana .

Ni bora uchunguzi huru ufanyike ili kujua nani hasa alihusika na kupotea Kwa Ben Saanane .

Uchunguzi huu pia uende sambamba na kuchugunza shambulio la risasi dhidi ya Tundu Lissu.

Ikiwa Kama Mgufuli inatonekana alihusika basi familia yake ilipe fidia kubwa Sana ambayo najua haiwezi kuondoa machungu Ila inaweza kuisimamisha haki kwa kiasi chake.
 
Yaaani Serikali ipoteze fedha zake kuchunguza vitu ambavyo vinajulikana waziwazi?

Magufuli alikuwa binadamu dhalimu full stop na ndo mana Mungu alifanya yake mapema. Angekuwepo hai hadi leo yule mzee sijui hali za wapinzani zake zingekuwaje?
 
Kinachoendelea sasa kuhusu Ben Saanane ni masikitiko Sana .

Ni bora uchunguzi huru ufanyike ili kujua nani hasa alihusika na kupotea Kwa Ben Saanane .

Uchunguzi huu pia uende sambamba na kuchugunza shambulio la risasi dhidi ya Tundu Lissu.

Ikiwa Kama Mgufuli inatonekana alihusika basi familia yake ilipe fidia kubwa Sana ambayo najua haiwezi kuondoa machungu Ila inaweza kuisimamisha haki kwa kiasi chake.
Na kama hakuhusika uchunguzi huo utasafisha jina lake na serikali pia.
 
Kwa serikali hiihii?Itakuwa sawa na kutembea kwenye soko la kijiji saa sita mchana ukiwa haujavaa nguo yoyote zaidi ya saa ya "disco" tu mkononi.
 
Kinachoendelea sasa kuhusu Ben Saanane ni masikitiko Sana .

Ni bora uchunguzi huru ufanyike ili kujua nani hasa alihusika na kupotea Kwa Ben Saanane .

Uchunguzi huu pia uende sambamba na kuchugunza shambulio la risasi dhidi ya Tundu Lissu.

Ikiwa Kama Mgufuli inatonekana alihusika basi familia yake ilipe fidia kubwa Sana ambayo najua haiwezi kuondoa machungu Ila inaweza kuisimamisha haki kwa kiasi chake.
Serikali inajichunguzaje yenyewe kije chombo cha kuaminika kuto nje ya nchi.
 
Kinachoendelea sasa kuhusu Ben Saanane ni masikitiko Sana .

Ni bora uchunguzi huru ufanyike ili kujua nani hasa alihusika na kupotea Kwa Ben Saanane .

Uchunguzi huu pia uende sambamba na kuchugunza shambulio la risasi dhidi ya Tundu Lissu.

Ikiwa Kama Mgufuli inatonekana alihusika basi familia yake ilipe fidia kubwa Sana ambayo najua haiwezi kuondoa machungu Ila inaweza kuisimamisha haki kwa kiasi chake.
Hakutakuwa na chunguzi hizo mbili.
 
Wengi wa wafanya maamuzi huko serekalini kwa sasa ni wafaidika wa uovu wa utawala wa Magufuli, hakuna namna watakubali uovu wake uwekwe hadharani. Sana sana wataendesha vitisho, na kujaza wapotoshaji huku kwenye mitandao ya kijamii ili kupindisha ukweli. Subiri siku 2 hizi uone id nyingi zitakavyomiminika huku mitandaoni kupindisha ukweli.
 
Kinachoendelea sasa kuhusu Ben Saanane ni masikitiko Sana .

Ni bora uchunguzi huru ufanyike ili kujua nani hasa alihusika na kupotea Kwa Ben Saanane .

Uchunguzi huu pia uende sambamba na kuchugunza shambulio la risasi dhidi ya Tundu Lissu.

Ikiwa Kama Mgufuli inatonekana alihusika basi familia yake ilipe fidia kubwa Sana ambayo najua haiwezi kuondoa machungu Ila inaweza kuisimamisha haki kwa kiasi chake.
Na kama wahusika ni Chadema? 🐼

Alipe Wenje kwa sababu hamna hela 😂
 
Kinachoendelea sasa kuhusu Ben Saanane ni masikitiko Sana .

Ni bora uchunguzi huru ufanyike ili kujua nani hasa alihusika na kupotea Kwa Ben Saanane .

Uchunguzi huu pia uende sambamba na kuchugunza shambulio la risasi dhidi ya Tundu Lissu.

Ikiwa Kama Mgufuli inatonekana alihusika basi familia yake ilipe fidia kubwa Sana ambayo najua haiwezi kuondoa machungu Ila inaweza kuisimamisha haki kwa kiasi chake.
Serikali ipi? Labda ya malawi
 
Uchunguzi huru huwa unaivua nguo serikali.
Rejea uchunguzi wa kifo cha aliyekuwa waziri mambo ya nje wa Kenya Robert Ouko uliofanywa na Scotland Yard.
Kuanzia pale serikali nyingi za kiafrika zinaepuka mitego ya aina hiyo
 
Kinachoendelea sasa kuhusu Ben Saanane ni masikitiko Sana .

Ni bora uchunguzi huru ufanyike ili kujua nani hasa alihusika na kupotea Kwa Ben Saanane .

Uchunguzi huu pia uende sambamba na kuchugunza shambulio la risasi dhidi ya Tundu Lissu.

Ikiwa Kama Mgufuli inatonekana alihusika basi familia yake ilipe fidia kubwa Sana ambayo najua haiwezi kuondoa machungu Ila inaweza kuisimamisha haki kwa kiasi chake.
Haiwezi kujichunguza yenyewe..kwa wenye walau D 2 walishaelewa kitambo
 
Kinachoendelea sasa kuhusu Ben Saanane ni masikitiko Sana .

Ni bora uchunguzi huru ufanyike ili kujua nani hasa alihusika na kupotea Kwa Ben Saanane .

Uchunguzi huu pia uende sambamba na kuchugunza shambulio la risasi dhidi ya Tundu Lissu.

Ikiwa Kama Mgufuli inatonekana alihusika basi familia yake ilipe fidia kubwa Sana ambayo najua haiwezi kuondoa machungu Ila inaweza kuisimamisha haki kwa kiasi chake.
Isiishie kwa uliowataja pekee !
Iende pia kwa akina Imran Kombe, Professor Baregu, Mwangosi, Dr Ulimboka, Said Kubenea na wengineo kwa yaliyowasibu !
 
Kinachoendelea sasa kuhusu Ben Saanane ni masikitiko Sana .

Ni bora uchunguzi huru ufanyike ili kujua nani hasa alihusika na kupotea Kwa Ben Saanane .

Uchunguzi huu pia uende sambamba na kuchugunza shambulio la risasi dhidi ya Tundu Lissu.

Ikiwa Kama Mgufuli inatonekana alihusika basi familia yake ilipe fidia kubwa Sana ambayo najua haiwezi kuondoa machungu Ila inaweza kuisimamisha haki kwa kiasi chake.
Hakuna haja ya uchunguzi Kabendera kamaliza
 
Ikiwa Kama Mgufuli inatonekana alihusika basi familia yake ilipe fidia kubwa Sana ambayo najua haiwezi kuondoa machungu Ila inaweza kuisimamisha haki kwa kiasi chake.
Kosa afanye John fidia alipe Janet au Jesca?
Hii sheria umeitoa wapi?
Ungesema mali za marehemu ndizo zilipie fidia ungeeleweka.
Hata hivyo hii kesi itakuwa ngumu sababu haki ya kusikilizwa mtuhumiwa na kujitetea itatekelezeka vipi?
 
Back
Top Bottom