Serikali imejipangaje kukabiliana na wimbi zito na la kutisha la njaa mwaka huu? Nfra inahifadhi yoyote ya chakura mpaka Sasa?

Mganguzi

JF-Expert Member
Aug 3, 2022
1,432
3,498
Kwa kifupi tu! Siuoni mkakati wowote wa kukabiliana na wimbi la njaa mwaka huu na dalili zote zinaonesha hakuna akiba yoyote ya chakura na Wala hatusikii mpango wowote wa tafadhari kunusuru Hali hii.

Jakaya katika mhula wake wapili kulitokea Hali kama hii lakini alifanya mbinu ya kuagiza mchele nje na ulikuwa mwingi sana hata kama haukuwa mtamu lakini uliokoa watu wasidhalilike.

Tozo zinazidi kuwa nyingi basi agizeni hata mchele Thailand na msaidie watu. Huko mbeleni nchi itadhalilika. Mwaka huu hata mahindi serikali haijanunua, endeleeni na mamiladi yenu makuuubwa vitu kama hivi vinao nekana vidogo lakini vina maana kubwa ..kama wananchi watakula reli ya sgr sawa na hii njaa haijasababishwa na uzembe Bali ukame .. mtakuja kuniambia ..viongozi wajuu wa awamu hii wanatabia ya kupuuza dalili ..mpaka liwakute ndio waanze kupapalika.

Jana tu nilikuwa sumbawanga hakuna chakura kabisa . Hali mbaya binafsi naogopa sana Kwa dalili hizi..
 
Chakula sio chakura.
 
Back
Top Bottom