Ama kweli mtoa mada elimu ya mazingira imekupita kushoto. Aisee "exparts" wa Lumumba shida .
Alitokea mdau kuweka mada ihusuyo kujenga miundo mbinu ya kukomesha mafuriko Dar. Moja ya kitu alitolea ufafanuzi ni kuvuna maji ya mafuriko na kuyatumia kwa amtumizi ya kilimo na hata kuyasafisha kwa matumizi ya binadamu.Ili kukuza haraka kilimo na ufugaji Tanzania serikali inatakiwa ifanye mambo yafuatayo
Serikali katika kauli mbiu za HAPA KAZI tu mojawapo ya kauli kama ya wizara ya maji kauli mbiu iwe
"KUHAKIKISHA UPATIKANAJI WA MAJI YA KUTOSHA KWA AJILI YA BINADAMU,MIFUGO NA KILIMO" na nashauri wizara ya maji,mifugo na kilimo iwe wizara moja.
Google WETLANDS AU ESTUARY + Ecosytems.Nieleze hizo athari mfano mto ndio uko hatua za mwisho za kuingia baharini nikauchepusha nikaurudisha hata ulikotoka athari zake ni nini? Siyo kila mtu anakesha kusoma mambo ya mazingira tu tueleze wewe mtaalamu basi.