Serikali igawe mashine za EFD kwa kila mwenyekiti wa mtaa kukufanya kodi za wapangishaji nyumba

Serikali ina vyanzo vingi vya mapato,,, baada ya Serikali za magharibi kutuondolea misaada Sasa njia sahihi ya kuongeza ukusanyaji kodi ni hii hapa

Kuna maduka mengi sana ya biashara kuanzia majiji makuu hadi miji ya kawaida,,

Serikali ifanyeje??
inatakiwa igawe mashine za EFD kwa kila mwenyekiti wa mtaa hadi kijiji ili kila anayepanga chumba ama nyumba ya kulala ama fremu ya biashara basi mwenye nyumba, chumba ama fremu ya biashara akatwe 10% ya bei iliyolipwa kama kodi ya mapato ya nyumba na hapo serikali itakusanya makusanyo kwa mwaka zaidi ya misaada tunayopewa,,,
Cha kufanya ni kutunga sheria yake ili mpangaji anapotaka kulipia pango lazima apewe risiti ya EFD ambapo pesa inaingia moja kwa moja serikalini,,,

Na inatakiwa kila baada ya miezi mitatu TRA inapitia nyumba mpaka nyumba kwa kukagua mikataba na risiti iliyolipwa kati ya mpangaji na mpangishaji na hapo hakuna mwenye nyumba atakayeshindwa kufanya hivyo.
Na sheria ielekeze kabla mpangaji hajaishi hapo alipopanga basi malipo yafanyike katika ofisi za serikali za mtaa na hapo ndo atapewa risiti Ila akikubali kupangishwa bila kupewa risiti ina maana atakua amevunja sheria na adhabu yake iainishwe maana amehusika kumlinda mwenye nyumba asilipe kodi ya upangishaji na hiyo risiti yake aitunze mpaka mkataba wake utakapoisha,,
Hivyo hivyo kwa mwenye nyumba apate kopi ya hiyo risiti ya mpangaji wake na yeye maafisa wa TRA wakibaini hajalipa kodi ya upangishaji nyumba yake basi atakua amevunja sheria na adhabu yake iainishwe.
Kiujumla tunakuomba Mh Rais wetu kuna vyanzo vingi vya mapato kama hivi na ukiamua basi miaka mitano ijayo tutaanza kutoa misaada.

Mfano. Nyumba inapangishwa 50,000 na 10% ya kodi ya upangishaji ni 5,000 mtu anakua ana nyumba vyumba vitano kwa mwezi 25,000 mara nyumba 500000=12.5b kwa mkoa mmoja kama Dar.
12.5b mara wastani wa mikoa 25 =312. 5b kwa mwezi
312.5*12=3.7Tilions kwa mwaka

Hii ni hesabu ya bei ya kawaida ya chumba na siyo kwa nyumba kubwa maana kuna nyumba na fremu zinapangishwa 200,000-1,000,000 kwa mwezi.
So naomba Rais wangu tujipange na hatimaye tutajenga Taifa huru na Dunia itatuheshimu
Ni wazo zuri sana , lakini linatakiwa liwekewe mikakati yake mingine kwa kutumia EFD hizo hizo baada ya kufanya comfiguration mpya nadhani na nchi itasonga mbele zaidi. NAUNGA MKONO 100%
 
Yaani mumuongezee msalaba wa ukali wa maisha Mtanganyika kwasababu ya upuuzi wa Jecha?Khaaah!!!??
 
Hapa duniani hakuna mzalendo wa kweli zaidi ya EFD na hakuna mpangaji mwenye muda wa kwenda TRA tambua hilo,,, kama mfanyabiashara hawezi kwenda mpaka apewe EFD huyo mpangaji ataanzia wapi wakati yeye ajua akishalipa kodi amemaliza usumbufu wake???
Kaka technolojia ndo mzalendo wa kweli mengine ni uwongo
EFD hizi ambazo umenunua mzigo wa milioni unaandikiwa 100,000? Hata kwenye pango mwenye nyumba atakwambia nikuandikie 10,000 badala ya 50,000 ndo upate chumba vinginevyo tembea? Hela ya Mmarekani mwaka huu itatutoa roho, trillion per year siyo mchezo!
 
Kwakua wewe ni mkenya na mara nyingi huwa mna wivu basi mnafurahia sana usitishwaji wa pesa za MCC so mkiona Watz wanapanga jinsi ya kujiendesha bila kubembeleza mataifa ya nje basi mnaumia zaidi na kuomba kile kizuri tunachokifikiri kama Watz basi kisifanikiwe,,,,
Kwa tarifa yako mwaka 2025 tutaanza kutoa misaada kwa kuanzia na mataifa ya East Afrika na tutaanza na nyie wakenya ili tuwadai madeni vizuri
Aisee wewe jamaa akili mingiiiiiiii. Kula tano kama damu mzito kuliko maji.
 
Ni wazo zuri, ila naona kama over estimated kwa idadai ya nyumba naona itakuwa chini sana ya hapo 500000 kwa hapa dar, kwani kwa hesabu ya harakahara kwa data zako ulizotoa ni kuwa nyumba moja ni watu kama 16 mpaka 20 kwa hapa dar.
Cha umuhimu ni kuangalia ni nyumba gani zinaweza zikahesabika kama salama kwa makazi na ndizo ziwezinalipiwa kodi ya upangaji. Hapa naona kuna mapato ya kutosha.
 
EFD inakata 18 percent ambayo ni VAT kama sijakosea, mtu anaetakiwa kusajiliwa VAT anatakiwa azidi mauzo ya 14,000,000 kwa mwaka...sasa nyumba za kupanga zinazidi hizo hela? halafu sala capo linatakiwa kuwe na wahasibu etc etc wafanye mahesabu yao maana hauwezi kufanya shughuli tu za kibiashara kwa kichwa kichwa...ili uweze kubalance usiumizwe upande mmoja....hautakiwi kufikiri tu kama layman...maana hapo inatakiwa mwenye nyumba a deduct repairs za nyumba i.e kupaka rangi, kunyonya maji taka, na matengenezo mengine kama malipo ya fundi etc hive vitu vote vinatakiwa vive documented au mwenzetu were ni muajiriwa unawaza waza tu..vitu
Na wewe unapotosha sasa... Mashine wanazoita za EFD siyo za walioandikishwa VAT hizo ni za wale chini ya walioandikishwa VAT... Harafu VAT haikuwa ya mil 14 ilikuwa inayofika mil 40 na sasa hv imepandishwa tena... So usichanganye VAT na EFD... kwa shule zaidi... Tafuta wataalam uwalipe ada
 
Serikali ina vyanzo vingi vya mapato,,, baada ya Serikali za magharibi kutuondolea misaada Sasa njia sahihi ya kuongeza ukusanyaji kodi ni hii hapa

Kuna maduka mengi sana ya biashara kuanzia majiji makuu hadi miji ya kawaida,,

Serikali ifanyeje??
inatakiwa igawe mashine za EFD kwa kila mwenyekiti wa mtaa hadi kijiji ili kila anayepanga chumba ama nyumba ya kulala ama fremu ya biashara basi mwenye nyumba, chumba ama fremu ya biashara akatwe 10% ya bei iliyolipwa kama kodi ya mapato ya nyumba na hapo serikali itakusanya makusanyo kwa mwaka zaidi ya misaada tunayopewa,,,
Cha kufanya ni kutunga sheria yake ili mpangaji anapotaka kulipia pango lazima apewe risiti ya EFD ambapo pesa inaingia moja kwa moja serikalini,,,

Na inatakiwa kila baada ya miezi mitatu TRA inapitia nyumba mpaka nyumba kwa kukagua mikataba na risiti iliyolipwa kati ya mpangaji na mpangishaji na hapo hakuna mwenye nyumba atakayeshindwa kufanya hivyo.
Na sheria ielekeze kabla mpangaji hajaishi hapo alipopanga basi malipo yafanyike katika ofisi za serikali za mtaa na hapo ndo atapewa risiti Ila akikubali kupangishwa bila kupewa risiti ina maana atakua amevunja sheria na adhabu yake iainishwe maana amehusika kumlinda mwenye nyumba asilipe kodi ya upangishaji na hiyo risiti yake aitunze mpaka mkataba wake utakapoisha,,
Hivyo hivyo kwa mwenye nyumba apate kopi ya hiyo risiti ya mpangaji wake na yeye maafisa wa TRA wakibaini hajalipa kodi ya upangishaji nyumba yake basi atakua amevunja sheria na adhabu yake iainishwe.
Kiujumla tunakuomba Mh Rais wetu kuna vyanzo vingi vya mapato kama hivi na ukiamua basi miaka mitano ijayo tutaanza kutoa misaada.

Mfano. Nyumba inapangishwa 50,000 na 10% ya kodi ya upangishaji ni 5,000 mtu anakua ana nyumba vyumba vitano kwa mwezi 25,000 mara nyumba 500000=12.5b kwa mkoa mmoja kama Dar.
12.5b mara wastani wa mikoa 25 =312. 5b kwa mwezi
312.5*12=3.7Tilions kwa mwaka

Hii ni hesabu ya bei ya kawaida ya chumba na siyo kwa nyumba kubwa maana kuna nyumba na fremu zinapangishwa 200,000-1,000,000 kwa mwezi.
So naomba Rais wangu tujipange na hatimaye tutajenga Taifa huru na Dunia itatuheshimu
 
Serikali ina vyanzo vingi vya mapato,,, baada ya Serikali za magharibi kutuondolea misaada Sasa njia sahihi ya kuongeza ukusanyaji kodi ni hii hapa

Kuna maduka mengi sana ya biashara kuanzia majiji makuu hadi miji ya kawaida,,

Serikali ifanyeje??
inatakiwa igawe mashine za EFD kwa kila mwenyekiti wa mtaa hadi kijiji ili kila anayepanga chumba ama nyumba ya kulala ama fremu ya biashara basi mwenye nyumba, chumba ama fremu ya biashara akatwe 10% ya bei iliyolipwa kama kodi ya mapato ya nyumba na hapo serikali itakusanya makusanyo kwa mwaka zaidi ya misaada tunayopewa,,,
Cha kufanya ni kutunga sheria yake ili mpangaji anapotaka kulipia pango lazima apewe risiti ya EFD ambapo pesa inaingia moja kwa moja serikalini,,,

Na inatakiwa kila baada ya miezi mitatu TRA inapitia nyumba mpaka nyumba kwa kukagua mikataba na risiti iliyolipwa kati ya mpangaji na mpangishaji na hapo hakuna mwenye nyumba atakayeshindwa kufanya hivyo.
Na sheria ielekeze kabla mpangaji hajaishi hapo alipopanga basi malipo yafanyike katika ofisi za serikali za mtaa na hapo ndo atapewa risiti Ila akikubali kupangishwa bila kupewa risiti ina maana atakua amevunja sheria na adhabu yake iainishwe maana amehusika kumlinda mwenye nyumba asilipe kodi ya upangishaji na hiyo risiti yake aitunze mpaka mkataba wake utakapoisha,,
Hivyo hivyo kwa mwenye nyumba apate kopi ya hiyo risiti ya mpangaji wake na yeye maafisa wa TRA wakibaini hajalipa kodi ya upangishaji nyumba yake basi atakua amevunja sheria na adhabu yake iainishwe.
Kiujumla tunakuomba Mh Rais wetu kuna vyanzo vingi vya mapato kama hivi na ukiamua basi miaka mitano ijayo tutaanza kutoa misaada.

Mfano. Nyumba inapangishwa 50,000 na 10% ya kodi ya upangishaji ni 5,000 mtu anakua ana nyumba vyumba vitano kwa mwezi 25,000 mara nyumba 500000=12.5b kwa mkoa mmoja kama Dar.
12.5b mara wastani wa mikoa 25 =312. 5b kwa mwezi
312.5*12=3.7Tilions kwa mwaka

Hii ni hesabu ya bei ya kawaida ya chumba na siyo kwa nyumba kubwa maana kuna nyumba na fremu zinapangishwa 200,000-1,000,000 kwa mwezi.
So naomba Rais wangu tujipange na hatimaye tutajenga Taifa huru na Dunia itatuheshimu
Kweli wasiojua ndio waliwao, hivi mtoa mada unajua maana lakini ya EFD?
Maana naona unaongea impracticalities ambazo ni sawa na hewa!
 
Kwanza jiulize hizi kodi zinamnufaisha vipi mwananchi wa kawaida? Misamaha mingapi inatolewa kwa makampuni makubwa? Je kodi halali inakusanywa na kuwasiliswha serikalini? Tatizo la nchi hii ni matumizi ya hizo kodi wewe unataka tu wananchi wa kawaida wakamuliwe huku hawapati huduma za msingi mwisho wa siku hiyo mihela watu wanagawana kwenye kumbesa
 
Unajua WITHHOLDING TAX?! Sisi wenye ofisi tukienda TRA kupeleka mahesabu yetu huwa tunapeleka na mkataba wa pango ambao unakatwa hio withholding tax. Wewe kama mkereketwa na mzalendo ukimlipa kodi mwenye nyumba chukua Withholding tax peleka TRA.

Halafu sio kila kodi inakusanywa na EFD mkuu.
Kwani mashine za EFD si zimewekewa progamme tu. Nafikiri zinaweza kuwekewa programs za aina nyingine ili zikusanye hizo kodi za nyumba!
 
Serikali ina vyanzo vingi vya mapato,,, baada ya Serikali za magharibi kutuondolea misaada Sasa njia sahihi ya kuongeza ukusanyaji kodi ni hii hapa

Kuna maduka mengi sana ya biashara kuanzia majiji makuu hadi miji ya kawaida,,

Serikali ifanyeje??
inatakiwa igawe mashine za EFD kwa kila mwenyekiti wa mtaa hadi kijiji ili kila anayepanga chumba ama nyumba ya kulala ama fremu ya biashara basi mwenye nyumba, chumba ama fremu ya biashara akatwe 10% ya bei iliyolipwa kama kodi ya mapato ya nyumba na hapo serikali itakusanya makusanyo kwa mwaka zaidi ya misaada tunayopewa,,,
Cha kufanya ni kutunga sheria yake ili mpangaji anapotaka kulipia pango lazima apewe risiti ya EFD ambapo pesa inaingia moja kwa moja serikalini,,,

Na inatakiwa kila baada ya miezi mitatu TRA inapitia nyumba mpaka nyumba kwa kukagua mikataba na risiti iliyolipwa kati ya mpangaji na mpangishaji na hapo hakuna mwenye nyumba atakayeshindwa kufanya hivyo.
Na sheria ielekeze kabla mpangaji hajaishi hapo alipopanga basi malipo yafanyike katika ofisi za serikali za mtaa na hapo ndo atapewa risiti Ila akikubali kupangishwa bila kupewa risiti ina maana atakua amevunja sheria na adhabu yake iainishwe maana amehusika kumlinda mwenye nyumba asilipe kodi ya upangishaji na hiyo risiti yake aitunze mpaka mkataba wake utakapoisha,,
Hivyo hivyo kwa mwenye nyumba apate kopi ya hiyo risiti ya mpangaji wake na yeye maafisa wa TRA wakibaini hajalipa kodi ya upangishaji nyumba yake basi atakua amevunja sheria na adhabu yake iainishwe.
Kiujumla tunakuomba Mh Rais wetu kuna vyanzo vingi vya mapato kama hivi na ukiamua basi miaka mitano ijayo tutaanza kutoa misaada.

Mfano. Nyumba inapangishwa 50,000 na 10% ya kodi ya upangishaji ni 5,000 mtu anakua ana nyumba vyumba vitano kwa mwezi 25,000 mara nyumba 500000=12.5b kwa mkoa mmoja kama Dar.
12.5b mara wastani wa mikoa 25 =312. 5b kwa mwezi
312.5*12=3.7Tilions kwa mwaka

Hii ni hesabu ya bei ya kawaida ya chumba na siyo kwa nyumba kubwa maana kuna nyumba na fremu zinapangishwa 200,000-1,000,000 kwa mwezi.
So naomba Rais wangu tujipange na hatimaye tutajenga Taifa huru na Dunia itatuheshimu
Hapo ndio kupigilia msumari wa mwisho kwa ccm nafikiri Kofi atakae lips ni mfanyakazi sio mwenyewe Nyumba chumba ikiwa 50000 Kodi ya mapato sh 10000 chumba kitakuwa 60000 anaeumia ni mpangaji ccm itakuwa mwisho wake
 
alafu mwisho wa siku hizo hela zinakwenda kwa kina tibaijuka na chenge!......
Zile walizokuwa wanakata kwenye kodi za majengo kina Masamaki walikuwa wanaweka kwenye ndoo majumbani mwao.Haya ndo yale ya kusema malaika washushwe waishi kama shetani.
 
Kwani mashine za EFD si zimewekewa progamme tu. Nafikiri zinaweza kuwekewa programs za aina nyingine ili zikusanye hizo kodi za nyumba!
Hivi mnasoma mnachoandika? EFD inapiga hesabu ya VAT unayotakiwa kulipa mwisho wa siku lazima uende TRA au bank kulipia, hulipi ndani ya EFD. Sasa corparate taxi kwenye EFD utalipaje?
 
Hizo mashine huko zinakotengenezwa unafikiri zimetengenezwa maalum kwa ajili ya TRA Tanzania ili wakushanyie VAT? Haukuwahi kusikia kuwa mashine hizi zinauzwa bei ghali wakati zipo za bei nafuu Dubai? Hizi mashine unaziwekea program tu (software) ambayo imesetiwa kukusanya VAT. Mashine hizi zinaweza kuwekewa software nyingine zikakusanya kodi zingine pia. Mbona MAXMALIPO zinatumika kwa huduma mbalimbali zikiwemo umeme, luku, zuku n.k.
 
Back
Top Bottom