Serikali ifute leseni za usafirishaji waliogoma Mbeya

saigilomagema

JF-Expert Member
Jun 5, 2015
4,522
7,030
Tumesikia huko Mbeya madereva na wenye magari wamegoma kusafirisha abiria kati ya Mbeya na Tunduma na kuzua taharuki kwa wananchi wasafiri.

Huo ni utovu wa nidhamu na kiherehere, kama kuongezeka kwa mafuta yameongezeka nchi nzima. Kuna taratibu za kuongeza nauli na LATRA iko kwenye mchakato. Ni kiherehere gani kinawafanya wagome?

Hao wanatumiwa, Serikali ifute leseni zao iwe mfano kwa wapuuzi wengine kama hao.
 
Back
Top Bottom