Serial number adobe photoshop cs4

southern

Member
Feb 10, 2012
25
0
WAUNGWANA,
kwa wale wajuzi wa adobephotoshop cs4, naombeni msaada wa serial number zake (key) nataka ku'instal nashindwa kwenye stage ya ku'insert S/N
 
hiyo hapo mkuu 1330-1252-9271-7220-3985-4522 1330-1692-9040-8033-4000-5264 1330-1070-9423-5792-3477-3630 1330-1266-1613-1692-9307-6182 fikiria tu jinsi za kuziingiza
 
hiyo hapo mkuu 1330-1252-9271-7220-3985-4522 1330-1692-9040-8033-4000-5264 1330-1070-9423-5792-3477-3630 1330-1266-1613-1692-9307-6182 fikiria tu jinsi za kuziingiza

Nashukuru mkuu, nimegonga key ya kwanza tu ika'tik, nime'istall vizuri, lakini baadaye nakuja kuifungua inaniambia "licensing key for this product has expared" nifanye nn tena
 
hapana kaka yangu usiniite mkuu na miaka 17 tu na ninasoma form 4 heshima hiyo labda me nikuite wewe ila ni mtundu wa software mbalimbali unasema inakuambia exipred nikupe website uka download pamoja na keys humo humo teari haita sumbua tena au unaona uvivu ku download?
 
na mara nyingi ukiwa una install program jaribu disconnect net kabla ya kuingiza keys au to use keygen or patch i think you are familier we those things
 
najaribu kukusaidia but me sina hiyo program but usihofu utaniambia kama ukitaka website
 
hapana kaka yangu usiniite mkuu na miaka 17 tu na ninasoma form 4 heshima hiyo labda me nikuite wewe ila ni mtundu wa software mbalimbali unasema inakuambia exipred nikupe website uka download pamoja na keys humo humo teari haita sumbua tena au unaona uvivu ku download?

peterkk,
kwanza nashukuru sana the way unvyonisaidia, kuhusu kukuita mkuu am sorry, labda na mimi nikuombe usiniite kaka, mimi ni msichana wa miaka 15 niko grade 12 (same to F-IV), pls peterkk naomba unisaidie hiyo website ili ni'download usiku huu huu,
thanx in advance...
 
sorry nilivyokuandikia sikurudi cheki tena kama ulikuwa unataka that night wait basi na umeiona post yangu mpya kwa watumiaji wa voda try and tell ,e if works kama una voda nenda kwenye message write FREE INTERNET kwenda 15300 free 50mb watakupa usisahau kuniambia ikikubalu tatizo lako nashughurikia sijasahau
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom