CHAWAPOTA bana, Chama cha wanywaji pombe Tanzani. Mbona mnaanza kututenga sisi wa viroba bana!Tukisubiri tuundiwe tutafika kiama. Cha msingi ni sisi tuunde wenyewe. Tukutane siku mahali tuchague uongozi wa muda pamoja na kupanga jinsi ya kutengeneza katiba yetu. Napendekeza chama kiitwe CHAMA CHA WANYWAJI BIA TANZANIA (CHAWABITA)
Sasa mkuu na sisi wanywa viroba mtakuwa mmetutenga au ss ndiyo tunachangia sana asa kipindi hiki cha magufuli ata hapa nina vinne vya bukuTukisubiri tuundiwe tutafika kiama. Cha msingi ni sisi tuunde wenyewe. Tukutane siku mahali tuchague uongozi wa muda pamoja na kupanga jinsi ya kutengeneza katiba yetu. Napendekeza chama kiitwe CHAMA CHA WANYWAJI BIA TANZANIA (CHAWABITA)
Watoe tamko kwa kweli tunaumia sisi wanywaji??
Ila ifike hatua na sisi wanywa bia tuwe na chombo chetu cha kuregulate bei za bia km ilivyo ewura na Sumatra.
Hakuna cha stock ya zamani wanatuibia tu, bia zote zimeandikwa bei ya elfu mbili kule shingoni. Hiyo ni ishara kuwa stock ya zamani ya serengeti ilishaisha, iliyopo ndio hiyo ya promotionNaungana na wewe, sababu kuna siku nimelazimishwa kulipa sh 2500 wakati kuna tangazo limebandikwa ni sh 2000. ilikuwa zogo kubwa, nilitukanwa kila aina ya matusi. Serengeti toeni mwongozo, hasa kwa wauzaji ambao bado wana stock ya zamani
Ukiona barabara nzuri, hospitali nzuri, na maendeleo nchini basi elewa mapato tokana na pombe yana husika sana. Sijasikia mchele au maharage yakileta kodi ya maana hapa nchini. Wape heshima yao wanywaji nduguNaomba serikali iongeze kodi kwenye vinywaji vya kulewesha
Iwe 80%
Maana pombe sio chai
Au chakula
Nyinyi hata Mkiunda Chama hakitakua na uhai kwa sababu viroba vyenyewe soon vitapigwa marufukuSasa mkuu na sisi wanywa viroba mtakuwa mmetutenga au ss ndiyo tunachangia sana asa kipindi hiki cha magufuli ata hapa nina vinne vya buku
Shida tukiunganisha hivyo mwishowe watakuja wanywa Chimpumu, Chang'aa, Ulanzi, Mataputapu, Gongo, Pingu, etc humohumo. Imagine tunaitisha Mkutano wa Kujadili kitu wanakuja members wamelewa tayari hizo Pombe, si kikao kitavunjika mkuu??CHAWAPOTA bana, Chama cha wanywaji pombe Tanzani. Mbona mnaanza kututenga sisi wa viroba bana!
Naunga mkono hoja aisee tuunde chombo chetu hata kama serikali haitakiWatoe tamko kwa kweli tunaumia sisi wanywaji??
Ila ifike hatua na sisi wanywa bia tuwe na chombo chetu cha kuregulate bei za bia km ilivyo ewura na Sumatra.
Hahahahaaaaaa!!! Mkuu....umoja ni nguvu. Linapokuja swala la kuyumba......., wote ni....kushoto, kulia.....nyuma au mbele. Au wenzetu mna direction nyingine!!!Shida tukiunganisha hivyo mwishowe watakuja wanywa Chimpumu, Chang'aa, Ulanzi, Mataputapu, Gongo, Pingu, etc humohumo. Imagine tunaitisha Mkutano wa Kujadili kitu wanakuja members wamelewa tayari hizo Pombe, si kikao kitavunjika mkuu??
Hapa sasa kila aina ya kilevi iwe na chama chale halafu Mwishoni tutachukua viongozi WA juu wa kila chama tunaunda SHIRIKISHO LA WANYWAJI POMBE..Hahahahaaaaaa!!! Mkuu....umoja ni nguvu. Linapokuja swala la kuyumba......., wote ni....kushoto, kulia.....nyuma au mbele. Au wenzetu mna direction nyingine!!!
Tafadhali Numbisa,omba radhi kwa kuwaita wachangiaji wakubwa wa kodi "walevi".Mmh walevi bana
Hilo neno mkuu. Ila wa pombe za kupima sijui kama watashika nyadhifa za juu kutokana na kasumba ya wanywa beer.Hapa sasa kila aina ya kilevi iwe na chama chale halafu Mwishoni tutachukua viongozi WA juu wa kila chama tunaunda SHIRIKISHO LA WANYWAJI POMBE..
Tofauti haiko kwenye kuyumba Mkuu,Hahahahaaaaaa!!! Mkuu....umoja ni nguvu. Linapokuja swala la kuyumba......., wote ni....kushoto, kulia.....nyuma au mbele. Au wenzetu mna direction nyingine!!!
Tafadhali Numbisa,omba radhi kwa kuwaita wachangiaji wakubwa wa kodi "walevi".
Hata bei ya lukesolism ni undefined. Sometimes 5600 au 7000Heri yetu sisi wazee wa lukeselo aka jibapa bei ziko standard
location mattersHata bei ya lukesolism ni undefined. Sometimes 5600 au 7000