Magufuli hana sera ya Mambo ya nje ila Tanzania ina sera ya mambo ya nje.Hivi sera ya mambo ya nje ya Magufuli ni ipi?
Magufuli hana sera ya Mambo ya nje ila Tanzania ina sera ya mambo ya nje.Hivi sera ya mambo ya nje ya Magufuli ni ipi?
Hahahaha ile mvua ilitengewa bilioni tatu halafu huyu mamvi ndiye aliyehalalisha upigaji pesa serikalini na ufisadi namchukia sana mamvi..Unamkumbuka yule kiongozi wenu aliyewahi kwenda Thailand kutununulia mvua
Wewe utakuwa umenielewa vibaya tafadhali jaribu kusoma bandiko langu vizuri na kwa makini acha kutabiri kama mpiga ramli.Umeshaona kiongozi yeyote anaenda kutembelea Eritrea ama umeshaona kiongozi wa Eritrea akitembelea nchi yeyote, nenda ukaone maendeleo ya nchi hiyo ndogo Afrika ilivyopiga hatua katika masuala ya huduma kwa jamii. Sio lazima kwa Rais wa nchi ya Tanzania apigie magoti wahisani ama wafadhili wakati Tanzania ni nchi Tajiri bali mfumo wa watawala waliopita haukuwa mzuri. Hapa Kazi Tu.
Tanzania haihitaji chochote kutoka Israel. Ngonja nikuelimishe brother Israel inategemea 85% ya bajeti yake kutoka United State, Hujui Tanzania ni nchi tajiri zaidi ya Israel .
Teh teh te te te te. Kweli mkuu kuna umuhimu wa jamaa kuingizwa darasa kidogo ili apewe madesa na msasa kidogo tusije tukaaibika kwenye nyanja za kimatifa.Kwa upande mwingine, kama mtu anaweza kusema hadharani Libya ilikuwa inaongozwa na Sadam Hussein halafu katika kujirekebisha anakosea tena na kusema alikuwa rais wa Quwait!!! mtu huyu anatakiwa kuandaliwa kwa muda mrefu zaidi kabla hajaanza kuhudhuria mikutano ya aina hii. Asije akamwabia Netanyahu "ukirudi wasalimie sana wapiga kura wako kule Palestina" (Just kidding)
Ni sahihi, lakini siasa za sasa siyo kama za wakati ule, hivyo ni lazima uangalie kwa makini na kwa mapana faida ya Raisi kuwepo au kutokuwepo kwenye mikusanyiko ya kimataifa kama hiyo. Kimsingi, kwenye mikosanyiko yenye kujenga mahusiano ya kimataifa yenye hadhi ya taasisi ya URAISI si vyema sana yeye akijiweka nyuma au mbali. Nivizuri aende, ajifunze na kushiriki.
Ule mkutano wa Cancun vipanga wa habari za uhusiano wa kimataifa wanauzungumzia mpaka leo.Ukiangaalia kwa makini sera ya mambo ya nchi za nje ya Rais Magufuli haitofautiani Na sera za Hayati Baba wa taifa Mwalimu Nyerere, haiwezekani na ni aibu kwa viongozi wote wa Afrika Mashariki kujikusanya Nairobi ili kukutana na Waziri Mkuu wa Israel. Kwa uamuzi wa Rais Magufuli kutohudhuria mkutano huo na badala yake kumtuma Balozi Mahiga l salute you Mheshimiwa Rais Magufuli.
Nakumbuka mwanzoni mwa miaka ya 80s ulifanyika mkutano wa nchi zisizofungamana na upande wowote huko Cancun Mexico, Rais wa Marekani kwa wakati huo Ronald Reagan alioomba kukutana na Mwalimu Nyerere, ilibidi Rais wa Marekani (Superpower Country) amufate Mwalimu Nyerere Hotelini kwake kwa majadiliano. Mheshimiwa Rais Magufuli endeleza sera zako kwa style hiyo ili sera ya nje ya Tanzania irudi katika heshima yake.
Unaelewa wadhifa wa U-waziri mkuu wa Israel utaufananisha na wadhifa gani hapa Tanzania? Hivi ni kweli kabisa hujui ni kwa nini '' mwanakwetu '' hataki kwenda kukutana na watu wa mataifa?ELEWA KUWA YULE NI WAZIRI MKUU. HANA HADHI YA KUWAKUSANYA MARAIS. YEYE ANA HADHI YA KUONGEA NA KASIM MAJALIWA.
KWAHIO NI SAHIHI AKIWAPELEKA MAWAZIRI.
WE NEED TO KNOW OUR PRESIDENTIAL POSITION IS OF A HIGH VALUE.
Kweli kabisa mkuu huyu ndio raisi pendwa na mtukufu kuliko maelezo watanzania wanamuombea sanaWatanzania walipomchagua Rais Magafuli walitaka kiongozi ambaye ataleta mabadiliko hapa Tanzania kwahiyo hiyo sio lazima ajue lazima viongozi wa Dunia yote. Majuzi mgombea uchaguzi wa Marekani Donald Trumph alishindwa kuu pronounce jina la Tanzania, kwasasa ndio kipenzi cha wapiga kura wa Marekani.
Teh teh te te te te. Kweli mkuu kuna umuhimu wa jamaa kuingizwa darasa kidogo ili apewe madesa na msasa kidogo tusije tukaaibika kwenye nyanja za kimatifa.
Teh teh te te te te. Kweli mkuu kuna umuhimu wa jamaa kuingizwa darasa kidogo ili apewe madesa na msasa kidogo tusije tukaaibika kwenye nyanja za kimatifa.
Teh teh mwanakwetu muoga ata kenya tu hana cha kuongea nao. Kweli hapa majaribio tuTeh.. ila kwa sasa ngoja tuendelee na hili jimbinu la kufichama kwanza
Magufuli hana sera ya Mambo ya nje ila Tanzania ina sera ya mambo ya nje.
Usilete mawazo yako kwny facts zilizopo. Kwa Tanzania hakuna sera ya Magufuli kuna sera ya Tanzania.Kila serikali inayoingia madarakani lazima iwe na sera.
Magufuli ni kiongozi wa serikali hiyo, hivyo sera ni yake.
Unaelewa wadhifa wa U-waziri mkuu wa Israel utaufananisha na wadhifa gani hapa Tanzania? Hivi ni kweli kabisa hujui ni kwa nini '' mwanakwetu '' hataki kwenda kukutana na watu wa mataifa?