Selfika na JF: Snap it. Show it

Mimi huyo
20190927_131049.jpeg
 
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress... Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya.. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya... Kuna wakati hatuhitaji kusoma post zenye kutafakarisha... Kuna wakati tunakuwa wavivu kujibu hoja kwa maandishi ama kuchangia...
Solution hii hapa sasa.... Utashangazwa na matokeo take... Utajikuta kwenye ulimwengu wa furaha isyo kifani... Fanya hivi hapo ulipo tupia picha yako.. Ya sehemu yoyote mwilini... Epuka picha yenye kuonesha sura kwa sababu za wazi kabisa... Mimi nitaaza na hizi.. View attachment 1217156View attachment 1217157View attachment 1217158
Naona nyagi imefika kwenye cerebral ikapita mpk kwenye spinal cord sasa hivi inatokea kwenye oblangata😀😀😂😂😎😎
 
Back
Top Bottom