Selection za NACTE 2016 zitatoka lini?

Naomba majibu kwa anaefahamu majina ya selection vyuo vya afya yanatoka linii ..niliomba necta mwaka huu ...
 
Majina ya selection ya vyuo vya afya nacte 2016 yatatoka lin..mim niliapply nacte diploma ..sasa iv ni tumboo jotoo ..lini wanatoa majina nacte ...
 
Walisema wiki nne kuanzia tarehe 03.06.2016 kwa mujibu wa tangazo lao. Hivyo labda ndani ya wiki ya kwanza ya mwezi julai unaweza kupata majibu hayo kuwa na subira.
 
 
Na vyuo vya ualimu -diploma in teaching wanatoa lini?kama vyuo vinafunguliwamwez wa nane na hadi leo hawajatoa,wanategemea wazazi watajiandaa lini na pesa yenye ya siku hizi mnaijua?
 
Ikiwa tarehe 4/7 watakuwa wamekiuka tangazo lao ambalo kama wamechelewa sana inatakiwa watoe selection 3/7 Kwan ndio mwisho wa wiki NNE walizotuambia
 
Inakuwaje wadau tulioomba diploma na Certificate nacte mbona hawaeleweki,

Walisema wiki la mwisho la juni....Sasa Ni kimya tu hata profile hazionekaki au kuna mwenye habari kamili??
 
NACTE hawajasema wiki ya kwanza ya mwezi July, walisema wiki ya mwisho ya mwezi wa sita ambayo nadhani itaisha tarehe 3/7.Sasa wasipotoa selection zaidi ya hapo Mimi nasema kwamba ninabariki WATUMBULIWE tu maana watakuwa wametumia madaraka yao vibaya kudanganya umma.
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…