Walisema wiki nne kuanzia tarehe 03.06.2016 kwa mujibu wa tangazo lao. Hivyo labda ndani ya wiki ya kwanza ya mwezi julai unaweza kupata majibu hayo kuwa na subira.....mkuu ukihesabu toka 3 june wiki nne inakua n tas 1jully hvyo bila shaka nadhani zitatoka ijumaa
Uwezekano mkubwa ni Tareh 4/06/2016