DAFU NA NDIMU
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,497
- 5,092
Mbona hujaishauri serikali iwaajiri haraka sana waliopo mtaani kwanza?
Banch 2 za wahitimu zipo tu mtaani halafu unakuja na mawazo ya watu wasio na taaluma ya kazi kupewa hiyo kazi.
Umesha sahau majanga ya walimu wa voda fasta au ulikuwa bado shule ya msingi?
Kuna uhaba wa madaktari, tuwaachukue waliosomea udaktari wa mifugo wazibe pengo lao wakati tunaweka mambo sawa ya kuwapata madaktari. Poor me!