Sehemu zenye hisia zaidi kwa Mwanamke

Tatizo kubwa kwa wanaume ni kukariri!
Kila mwanamke ana sehemu yake ambayo ikishughulikiwa ipasavyo anajisikia kupaa mawinguni!
Lakini pia complication ya ziada ni kuwa sehemu hiyo inaweza kubadilika kutegemea na siku pamoja na mambo yaliyomzunguka kwa Siku hiyo na hali yake kwa siku husika!
Hivyo ukikariri kuwa kwa kuwa Jana niliposhughulikia sehemu Fulani alilainika ghafla na bibi akatoa machozi yake ya furaha na akafika kileleni kiulaini, basi na Leo nifanye kama Jana unaweza kuambulia patupu! Kuna sehemu kukinai na kuona hakuna jipya!
Hivyo kila mechi itahitaji utafiti! Siku zingine maneno matamu aliyoyamiss yanaweza kumwandaa kwa kasi kuliko miguso aliyoizoea!
Yawezekana kuna sehemu zingine hata mwanamke mwenyewe hazijui kama zaweza kumsisimua kimapenzi maana hakuna aliyewahi kuzijaribu! Utundu ni muhimu ili kuondoa mazoea hasa kwenye ndoa!
Mazoea ni sumu ya mapenzi! Mke anajua kabisa kuwa ukianza utafanya A, B, C! Akiweza kukutabiri umekwisha!
Anapaswa awe na hamu utafanyaje! Usitabirike! Mwanamke ni kiumbe wa ajabu! Mtafiti kila siku! Kila mechi! Utajua mapya kila siku!
Lakini pia wanawake toeni ushirikiano! We unaona kabisa jamaa anakwenda chaka kwa Leo, si umshike mkono wake uuweke mahali unapojisikia panahitaji kukunwa zaidi kwa Leo?
Kwa upande wa wanawake usafi ni muhimu sana (na waume pia)! Kuoga ni lazima dakika chache kabla ya tendo! Usiseme nilioga SAA kumi nilipotoka kazini na sasa ni SAA mbili za usiku! Jasho hutoka kila Mara, vumbi vumbi hata kama ni dogo! Na sehemu zenu si mnazijua asili yake zilivyo! Bila usafi afadhali tulale mzungu wa NNE!
 
Ni kweli baadhi ya ladies SUFURI kabisa, wewe unakuta boy wako hakugusi mahali husika alafu ndo kwanza umetulia tuliii km gogo, huna ushirikianao yaan upo upo tuuuuu!

Nilkuwaga na girls of mine mnaweza mkawa faragha kwa bed na ukawa may be unampapasa chuchuz zake, km hajickii umpapase hapo utakuta anashika mkono wako na anauhamishia may be kwny vagina! Hii ndo inatakiwa
 
Mkuu...mleta mada hisia za mapenzi kwa Wanawake hazifanani....yaliwahi kunikuta miaka flan nilikuwa...na mchepuko sasa nikawa nakariri mahari ninapomtuliza Wife nikadhani nahuo mchepuko nihivyo..nikawa naona namaliza maufundi yangu lkn wapi...mchepuko unacheua lkn...sio..kama ninavyotaka...Uzuri akaniambia asee mimi ukitaka kunimaliza gonga hapa daaah.....wacha kabisa nilipogonga hiyo aaah....Kuanzia pale habari kama hizi kwamba mwanamke ukifanya hivi ndio itakuwa hizi inawezekana lkn sio kwa wote
 
Habari yenu wakuu,

Nina siku kibao sijaja hapa MMU kusabahi, hivyo nmeona leo nije tupeane maujanja ya kuwafurahisha Viumbe wetu waliotoka ubavuni mwetu. Tujaribu kuziangalia Baadhi ya Sehemu ambazo zitamsisimua Mwanamke. Zipo nyingi, mi nachokoza mada tu then wewe utaongezea. Moderator kama ataona ina maneno makali basi aipeleke kule kwenye jukwaa kuu.

Tendo la ndoa ni sanaa, na sanaa ni ufundi wa kuwasilisha mawazo yaliyo katika fikra za mwanadamu. Hivyo basi kwa kuwa tendo la ndoa ni sanaa inatakiwa ufundi na ubunifu ili kuweza kufurahia tendo hili.

Ufundi huhitaji mandhari ya kuoneshea na uhitaji hadhira ya kufurahia, ambapo fanani huhitaji kufahamu haswaa hadhrira yake inataka nini. Yafuatayo ni maeneo 12 yenye msisimko ambapo kama mwanaume utayashughulikia ipasavyo bila shaka mwanamke atajiona mwenye bahati sana.

1. MIDOMO YAKE.
Tumia midomo yako,ulimi wako na meno yako kuchezea mdomo wake wa juu na wa chini na umbusu kwa msisimko mkubwa. Kunyonya ulimi pia huchangia kuongeza kasi ya mwanamke kwenda kileleni.(usafi wa kinywa kwa wote wawili ni muhimu hapa).

2. UKE NA KINE"".
Kuna namna mbili ya kucheza na mandhari hii, kwanza unaweza kutumia ulini na lips zako kutembelea hapa (kwenda chumvini).
Namna ya pili ni ya wale wasio na ujasiri wa kwenda chumvini, Tumia kidole chako cha kwanza cha mkono wa kulia polepole pitisha katika mfereji wa uke ukianzia chini (kutokea jirani na mlango wa nyuma) ukipandisha juu, fanya hivyo mara kadhaa.

Kutegemea umbo lako na urefu, unaweza kuchanganya zoezi hili na kunyonya matiti yake na hapo utaona upumuaji wake ukibadilika na majimaji yakiongezeka kwenye uke. Kwa kawaida kinembe cha mwanamke kimejificha lakini ukifanya vizuri zoezi la hapo juu na chenyewe kama uume kitajaa damu na kuinuka.

3. MATITI YAKE.
Matiti yake ni sehemu muhimu sana kwa mwanamke kama ilivyo kwa uke wake. Utampatia raha kamili mwanamke kama utayapapasa papasa na kuyatomasa tomasa matiti yake, utayaminyaminya kwa upole wa kimahaba, utayalambalamba haam haam na kuyanyonya nyonya bila kuyaumiza na meno.

4. MASIKIO YAKE.
Wanawake wengi hupata burudani masikio yao yanapolambwa au kunyonywa au kupigwa busu. Tembeza ulimi wako kama unaingia ndani ya sikio, utaona anavosisimka na vipele kumtoka.

5. SEHEMU YA NYUMA YA SHINGO
Tumia ulimi wako kulamba sehemu ya shingo yake kwa mwendo wa kutekenya tekenya. Tumia ncha ya ulimi kutekenya tekenya kwa kufanya mduara na kuendelea kuchora mduara na kurudiarudia, kisha busu mara kadhaa.

6. SEHEMU YA NYUMA YA GOTI.
Sehemu ya nyuma ya goti ina miishio mingi ya mishipa ya fahamu na utashangaa jinsi ammbavyo mwanamke atapata burudani kwa kuishughulikia vyema sehemu hii.

7. SEHEMU YA NDANI YA MAPAJA.
Tumia ubapa wa kiganja chako kupapasa kwa ulaini sehemu ya ndani ya mapaja yake,fanya hivyo juu juu huku ukimbusu busu mapaja yake.

8. MAKALIO YAKE.
Wanawake wengi wanapenda makalio yao yachezewe kimahaba, anza kwa kuyapapasa papasa, endelea kwa kuyaminya minya kwa kutumia vidole, kisha uwe kama unayachapa kibao hivi (usimuumize). Yabane bane na mikono yote miwili, yapikinye pikinye kimahaba. (ila angaia usifike mbali kwai kigoma ndiyo mwisho wa reli)

9. MIISHO YAKE.
Miguu yake imejaa miishio ya mishipa ya fahamu kiasi ambacho baadhi ya wanawake wanaweza kufika katika kilele cha burudani ya tendo la ndoa kwa miguu yao kusuguliwa na kupapaswa. Tumia kila ujanja ulionao kuchezea miguu yake .

10. USO WAKE.
Mwanamke atafurahi sana utakaposhika uso wake katika hali ya mahaba na huku
ukitabasamu. Wakati ukifanya hivyo unaweza kumbusu midomo yake,mashavu na kwenye paji la uso.

11. HIPS ZAKE.
Sehemu hii ni moja ya sehemu ambazo zitamfanya mwanamke ajisikie amekubalika kabisa iwapo utashika wakati wa tendo la ndoa. Mkiwa mmesimama hata kabla ya game kuanza, simama nyuma yake sambaza mikono mwilini mwake, zaidi cheza na hips zake.

12. G-SPOT
Sehemu hii iko ndani ya uke ambayo inapata hisia kubwa sana ikibonyezwa
bonyezwa,sehemu hii ipo sentimeta 5 kutoka mlango wa uke na iko katika ukuta wa juu wa uke.

Sehemu hii ikibonyezwa na kuchezewa ipasavyo mwanamke anaweza akapiz mara mbili au zaidi kwa wakati mmoja. Hii ni njia rahisi ya kumfikisha mwanamke kileleni, mwanaume aingize kidole kwenye uke na kubonyeza na kusugua sehemu ya juu ya uke ,sehemu hii imekaa kama sponji na huwa ngumu kwa kadiri inavyobonyezwa.

Mwanamke anaweza kujisikiakama anataka kukojoa kabisa na hawezi kukojoa ila raha atakayopata ni kubwa sana.

Samahani lakini..Credit kwa Dr.Love
usikariri mkuu kila binti yuko tofauti,,,kunaa ambao ukimshika matiti unamtoa kwenye mood kabisaa,,..cha msingi ongea na your woman/girl akwambie sehemu ambazo akishikwa huwa anahisi yupo sayari nyingine,...ukishajua sasa kifuatacho ndo yale tunaita MAUFUNDIII.
 
nikafanya kweli kwa sehemu ambazo ni muoga kuzifikia hapa anaona aibu haitakiwi kabisa kwa somo hili
Asante Mkuu kwa somo
 
Back
Top Bottom