Prof Griff
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 6,769
- 5,235
Understanding is not attained.Hii maada naipandisha kwa kero kubwa
Hapa Mwanza suala la mabinti wa chuo cha SAUT kujiuza ilikuwa kawaida sana, mtu mgeni akija, akitaka manzi wa kupozeaa anaambiwa subiri watoto wa SAUT, hasa weekend, na wengi huenda kutega palee SAMAKI tauni ndipo hais za kutoka chuo zinapo tia nanga.
Sasa hivi imekuwa kufuru, mabinti wa SAUT wameota mbawa, wanaruka masafa marefu hadi Geita, ukiongea mkoa huu ujue kuna GGM Geita Gold Mine sasa hivi wameona soko zuri lipo uko sio Mwanza tena.
Demu akienda kule akirudi ana mtonyo sio chini ya millioni, na kumbuka kule mgodini fire ni njenje, Basha wake wa chuo anabaki kubet, mikeka nayo skuizi inachanika tu, boom likikata ndo balaaa hasa kipindi hiki njenje nenda kanitangaze ndo habari ya mjini. Kweli kadri unavyoongeza elimu na umalaya ndivyo unavyoongeka.