Saudia yaifungia Al Jazeera ya Qatar

Qatar wakiona ovyo wanaweza kuamua tena kuhamishia makao makuu ya nchi yao Zanzibar kama alivyo fanya babu yao! Hakuna atayewabugudhi binamu yao yupo kule!
Historia za uchochoroni hizi! Sultan Seyyid Said ndiye aliyehamisha makao yake kutoka Muscat, Oman kwenda Zanzibar mnamo 1840. Hiyo ya kwako unaijua mwenyewe na mwalimu wako alokufundisha.
 
Aisee wanatofautiana waarabu, wanalaumiwa wazungu!! Sasa waliopanga ilo kombe la dunia lifanyike Qatar sio ndio hao hao wazungu, wakina sepp blatter. Mbona mnapenda kutafuta wa kuwasingizia matatizo yenu nyie waarabu weisi?
Kumbuka sio wazungu wote waliofurahia Qatar kushinda uwenyeji , ndio kulikuwa nyingi , kutoka uingereza na US ,blatter alijitoa muhanga kuleta fairness,
 
Tayari Qatar wameomba mazungumzo kumaliza mzozo
Hapo hakuna mzozo wa maana , ni wivu wa saudis kwa Qatar , Qatar has supplies massive Liquefied natural gas so they get much money from that,since they enjoy low extraction cost while Saudis incur high cost of buying or extraction cost of LNG, Saudis wants to buy LNG at discount price from Qatar, but Qatar rejects the deal, remember that there huge demand for LNG since it usefully for electricity production, Saudis to call Qatar as financing of terrorism, is a like a case of pot calling a kettle black
 
Kaka
Kaka umeongea point saana , hila nafikiri raia wa saudia ni wajinga saana , kwa nn utawala wa kifalme wa saudi usiondolewe ?

Wanajaribu sana bila mafanikio, internal security ya Saudia ni mahili sana sana mtu unaweza kufikiri labda watoto wanafundishwa kupeleleza mpaka wazazi wao!! Wahusika wakikamatwa wanakatwa vichwa kwa jambia sijui kama hata wanafikishwa mahakamani na adhabu hiyo utekelezwa adhalani ili wawatie hofu wenye raia wenginw wenye nia/lengo la kutaka kujaribu tena kuondoa madarakani ukoo wa Kifalme.
 
Ok daah noma saana
 
Haya ni maoni yako swali ni je???
Ina maana Saudia na wenzake hawajui haya uliyoandika hapa??

Jamaa anacho sema ni kweli tupu, Qatar hana cha kupoteza watakao pata shida ni raia wa kawaida kutoka nchi za Kiarabu ambao wanapewa ajira ya kuaminika huko Qatar, tatizo utawala wa Saudi Arabia ni wanafiki sana wanawashutumu Qatar kwa kufadhili magaidi/waasai wakati wakijua wazi wazi kwamba na wao (Saudia) ndiyo vinara wanao toa fedha na silaha kueneza ugaidi mashariki ya kati na nchi za magharibi including part ya Urusi ambayo ni Ulaya - nani ambaye anaweza kuwachukulia seriously Watawala wapuuzi kama Saudi Arabia na uzabazabina wao.

Chukulia usanii/maigizo ya kualika Viongozi wa nchi za Kiislaam wakati wa ujio wa Trump, lengo la Saudia lilikuwa kutaka kumchota akili Trump ili adhani kwamba Mataifa yote ya Kiarabu yanamsikiliza sana Saudia, yeye ndiye mwenye ushawishi mkubwa katika kanda ya Mashariki ya kati na Africa kasikazini consequently American can not do without Saudi Arabia support linapokuja saula la Geopolitics katika kada tajwa hapo juu - a very clever ploy by the Saudis. Looks like Trump swallowed usanii wa Saudia hook,line, and sinker!!

Kwenye mkutano wa Viongozi wa nchi za Kiislaam Trump akajikuta anarudia ngonjera za Saudia za kuishutumu Iran sijui alisema nini kuhusu Qatar wakati wa mkutano, lakini leo nimemsikia Trump akisema Qatar ina support ugaidi which means Saudia ikihamua kuyashirikisha Mataifa mengine ya Kiarabu kuivamia kijeshi Qatar basi Amerika haitasikitika itai.e kaa kimya bila kujali kama ina Base ya kijeshi Doha Qatar au la kutokana na wao kutopenda ukaribu/urafiki wa Taifa la Qatar na IRAN.

Matatizo ya utawala yanasababishishwa na vitu viwili in my opinion, cha kwanza ni: Ego iliyopitiliza mipaka na kiburi utawala wa Saudia wanataka kutoa impression ya kuonyesha kwamba wao zaidi ndani ya Mashariki ya kati wakati wanajua hiyo si kweli kuna other key players wenye uwezo kuliko wao Militarywise that is - sababu ya pili ambayo ni crucial inatokana na kutojiamini kwa Utawala wa Saudia ndiyo kunaifanya iwe very jumpy i.e ina wasi wasi sana na Iran, Syria na sasa Qatar kwamba wanaweza ku-support waasi ambao wanaweza kujaribu kuuondoa madarakani utawala wa Kifalme, wanapenda sana kushirikisha Dunia specifically nchi za NATO na za Kiarabu zipigane a proxy war on their behalf kuwaondoa maasimu wao - na Dunia hisipo kuwa makini na mbinu za Saudia itajikuta inapigana vita vya kijinga kulinda utawala wao wa kikatiri.
 
Kumbuka sio wazungu wote waliofurahia Qatar kushinda uwenyeji , ndio kulikuwa nyingi , kutoka uingereza na US ,blatter alijitoa muhanga kuleta fairness,
Huyo blatter ni mwarabu? Sasa kwa nini uli uliwajumuisha wote? Unaamini Qatar ilishinda bila hata kura moja ya mzungu? Au waarabu wote waliipigia kura? Ni upumbavu wenu kama utapigana na mdogo wako afu ukiulizwa unasema mbaya jirani ndo katugombanisha... hapo ndo naona kama vichwa vya hao unaowatetea vinamatope badala ya ubongo
 
Nani kakuambia nimewajumuisha wote , onyesha hiyo sentensi inayosema wazungu wote
 
Hapo hakuna mzozo wa maana , ni wivu wa saudis kwa Qatar , Qatar has supplies massive Liquefied natural gas so they get much money from that,since they enjoy low extraction cost while Saudis incur high cost of buying or extraction cost of LNG, Saudis wants to buy LNG at discount price from Qatar, but Qatar rejects the deal, remember that there huge demand for LNG since it usefully for electricity production, Saudis to call Qatar as financing of terrorism, is a like a case of pot calling a kettle black
LaBda tuweke radio mbao. Tusikikize wote.

Saudi hayuko peke yake. Haya madudu ya katar yamebumbuliwa katika mkutano wa umoja wa nchi za waarabu.
Saudi is not aLone.
Hawa katar ni terrorists. Wanasapoti kikundi cha "Houthi." huko yemen. Na islamic states.

Hivi nani haijui aljazzira tangu enzi ya osama? Wale ndio wana details zote za magaidi duniani.
Hata yule gaidi kiongozi wa hamas alipoona israel unaiwaSha moto Gaza alikwenda kujificha pale katar.

Uturuki inataka kuwatawala waarabu ili iwe superpower pale mido isti,
ndio maana inamkingia kifua katar. Na jamhur ya watu wa iran
Inataka kushohofisha nguvu ya saudi pale middle east, inamuunga mkono katar.
 
Sasa naona baba anamrahisishia mtoto barrier middle east! Barrier kwa mtoto zimebaki mbili Pakistani na Iran ...sasa mtoto ataingia mpaka chumbani Tegemeeni US kukua kiuchumi maana atasema nasululisha mgogoro ...hii MAGA lazma itimie tu... republicans sijuw wakoje. Bila Putin saiv anga la Middle east na Pacific lingekua jeusi...china muoga sana.
Yani huyu mchina hata simuelewi kabisa
 
Nilijua utafikiria hilo , mimi ni sunni , sema sijali saana hayo matabaka ,kwa hiyo kama unaisapoti saudi kwa sababu ni sunni basi umeliwa ,tuache ubaguzi sisi sote ni wamoja , kama issue ingekuwa sunni na shia basi Qatar hasingegombana na saudi kwani wote ni wasunni wanaofuata salafi version ,kwa hiyo lets focus to the matter , binafsi wanauonga mkono iran naona hawa jamaa zetu wa sunni wametuangusha saana kazi yao kujipendekeza kwa US hili wasitolewe madarakani huo ufalme wa saudi unaosifu ww , ingekuwa iran anajali usunni na ushia hasingewasapoti palestine kwani wengi ni sunni, hao saudia umesikia hata sikumoja hakiikemea israel kwa jinsi inavyowafanjia wapalestine
Uko vizuri sana mkuu
 
Yaani wameanza kufarakana wao kwa wao tena badala ya kuungana!!!!
Mkimaliza kuwaua wakristo, mtaanza kuana wenyewe wa shia wataua wahamadia na wakiisha wataanza kuuana wafupi na warefu na wakiisha wataanza kuana wanene kwa wembamba na wakiisha wataanza kuana wake kwa waume na wakiisha wataanza kuuana wenye vibamia na wenye mua.. Mwisho wa siku waliobaki watakua mashoga, mana itabidi waanze kubanduana makaratasi walioyabandika wenyew.
 
Back
Top Bottom