SANCTUS ANACLETUS
JF-Expert Member
- Mar 5, 2016
- 3,338
- 4,672
Wanataka kumfurahisha Trump.
Dunia inazidi kua sehemu ya ajabu sana, ndio maana wakati mwingine nasema Mapanki acha awe jeuri tu
Trump anahusika vipi hapo? Nchi za Guba ni watoto wadogo kiasi kwamba wanaweza kudanganywa na peremende? Saudi Arabia inaongozwa na watu wanaofikiri kwa kutumia miguu na kutembelea vichwa hadi Trump aweze kuwayumbisha? Kwa nini Mara nyingi tunaacha ku-address matatizo yetu sawa sawa na badala yake tunachora visingizio vya mbali na chanzo cha tatizo?