Saudh Arabia inavyohujumu Nchi za Somali na Yemen Sababu ya Mafuta

Bowie unaposikia shia tunazungumzia zaidi ya makundi 26 ya kishia kuna ithnaashar,rafidhwa,ismailiya nk ...kuna baadhi ya mashia hawana itikadi za kufru mfano ni huyo Ali swaleh na ndo maana hata serikali ya Saudi Arabia walikuwa wakishirikiana nae lkn jiulize kwa nini mahouth wakishirikiana na Iran+Russia walitaka kupindua serikali yakishia Yemen? ndo utajua mashia hawa wakina hizbullah na answarullah ni wauaji tena wao uuaji wao ni kwa kila asiekuwa shia
Tafadhali ingia hapa uone shia tunaowazungumzia

Shia cutting themselves/self Flagellation and Tatbir
nyingine
Muharram - Shia Muslims cutting themselves
Nyingine

Shia Muslims cut themselves with knives at a Muharram procession
ushabiki bila kufahamu kitu haufai!! Mm nimeishi Yemen (dammaj) kwa miezi mi5 atleat naongea nnachokijua sio ushabiki
 
Saudh Arabia kwa miaka mingi ndio taifa kubwa katika uzalishaji wa mafuta n na Alqaeda vyote vimeasisiwa na Saudh Arabia, kati watekaji ndege zilizotumika kwa shambulio la 911 magaidi 19 walikuwa raia wa Saudh Arabia.
Kwa kumaliza Saudh Arabia ndio mfadhili mkubwa wa ugaidi duniani.
mbn hujagusia kuhusu waasi wa houth kupora madaraka mpk rais akakimbia nchi? houth wanatumika na iran kama proxy wao pale yemen so saudi naye anakomaa ili kulinda maslahi yake, usiandike vitu vilivyoegamia upande mmoja chief maana utakua unapotosha..........huwez elezea mzozo wa yemen bila kuwamention houth militia
 
Mtoa mada nakubaliana na wewe lakini mada yangu kubwa haikuwa vita vya Yemen mada yangu ni kuhusu Saudh Arabia kutaka Mafuta ya Yemen. Saudh Arabia imefanya mauaji ya innocent victims kwenye nchi ya Yemen.
 
yeye na iran wanafight kwajili ya hio kitu wala usijidanganye kuwa ni saudi pekee, iran na ndugu zake waliinjinia mapinduzi ya serikali na sasa saudi na ndugu zake wanainjinia kuirudisha, mauaji ya yanayoendelea middle east ni battle ya saudi vs iran for influences but kila mmoja anaeneza propaganda chafu kuhusu mwenzie iloa wote ni wauaji na wanasponsor ugaidi..... saudi analaumiwa ka zile aistrike zake znaua na raia but c kwa kuvamia yemen bhana, iran akiwatoa ndugu zake walioko sanaa bila shaka saudi ataondoka pia
 
Hapo umekuja vizur kaka wakat wote huo pamoja nakua namgawanyiko huo waisla walikua bado wanatawala dunia.hata pale maawiya bin abii sufian alipomkataa Alii baada yakufanyiwa baia vitaviliendelea mpaka hasan anauawa kwakuppewa sumu nahusein anachukua madaraka kwakuitwa huku iraq mpaka anakufa karbala hayo yote wazungu walikua bado.turud sasa kuona kwann tunaitaja marekan kwasasa.kubuka marekan kwasasa ndo dola kuu dunian namadola yaliyopita mfumo nihuhuu ili uwe na power dunian lazia uwe na kambi ndomaana marekan ameunda nato sababu nikumdhibit mrusi sasa kumbuka mafuta nayo nirasilimali yakuidhibit dunia lakin pia mashariki yakat inahistoria kubwa sana ya mwanadam naustaarabu wake hivo nayo kuidhibit ni statejia ya kuumiliki usuper power wa dunia sasa ndomaana tuarud nyuma nan yupo na amerca mashariki yakat?unampata msaudia nasuni yote kwaupande mmoja.namuiran na nchi zote za mashia kwaupande mwingine.nafkir hapa tunajifnunza namm najifunza ziad kutoka kwako.
ni kweli chifu unachosema. Lakini tukumbuke kitu hapa..Historia inaonyesha kuwa panapokuwa na dola moja kuu basi hilo dola kuu hufanya kila linalowezekana nguvu zake zisififie na liendelee kutawala kwa mda mrefu inavyowezekana na mara nyingi njia pekee ya kufikia malengo yake ni vita tu na kuua na kuteka dola dhaifu. Tumeona haya anzia dola kuu ya rumi (waliteka na kutawala ulaya mashariki ya kati na sehemu kubwa ya Afrika).. Dola ya Ottoman mturuki( hawa walitembeza kichapo karibia ulaya nzima, mashariki ya kati na afrika ya kaskazini)..Dola ya kuu ya Mongolia (wakina Genghis na Kublai Khan) hawa walitembeza kichapo Asia karibia yote na sehemu za urusi, ulaya ya mashariki na sehemu kubwa ya ulimwengu wa kiislam ikiwa ni pamoja na Iran ya sasa, Afghanistani n.k..Dola yakuu ya kiarabu ya Umayyad ambayo ilitembeza kichapo ulaya na kuteka sehemu kubwa ya uhispania ya leo (mpaka leo lugha, mapishi, muonekano na tamaduni za uhispania zimeathiriwa sana na za kiarabu)..kwahiyo mkuu vichapo anavyotoa Marekani ni vya kihistoria kwa haya madola makuu kutegemea na wakti..
 
Ujue uache uongo usidhani kama watu wote hatufwatilii mambo. Vitu viwili vya kukubaliana ni kwamba sio washia wala wasunni ambao hawana makundi ya kigaidi

Iran(Shia)~hizbullah~assad regime~hao uliosema wa yemen etc

House of saud(sunni)~al qaeda~isis~jabat al nusra etc

Hapo hatujaingiza "the kurdish equation"

Tatizo la middle east ni mapambano kati ya madhebu(wasunni/wahabism na washia/sufism) na pia kati ya makabila sijui tuseme koo/asili hapo kuna wakurdi na jamii zingine zinaingia. Hili ndo tatizo hawataki kulitizama na wanatetewa na waislam huku wamegawanyika. Wewe hapo kwa maandishi yako tu tayari nimejua ni kundi la sunni na hamuwapendi wenzenu.

AFTERMATH:
Matokeo yake maadui wa uislam(ita makafir ukipenda) kyanzia americans,Zion na wengine wanawatumia nyie kwa matatizo yenu kuchochea moto.

Hata hivo naweza pigana na mtoa mada kuwa sababu haswa ni mafuta pekee. Kuna chuki kubwa ya kiimani na kihistoria. Haya mengine ni matokeo tu
 
Nashukuru kwa mchango wako. Tuchukue mfano wa Somalia ambao ni 99.9 waislam dhehebu ya sunni kwanini wagombane wenyewe kwa wenyewe.
Toka Somalia ipate uhuru mwaka 1960 makampuni mengi sana ya kimarekani yalikuwa yakifanya utafiti wa kutafuta mafuta nchini humo na dalili zote za kuonyesha kuwa nchi hiyo ina mafuta zipo, lakini kwasababu ya makampuni haya makubwa yalikuwa yamewekeza Saudh Arabia hayakutaka kuchimba mafuta hayo. Saudh Arabia kwa miaka 26 ya vita vya Somalia haikutaka kabisa kuona vinasimama wala kutoa msaada mpaka taifa la Uturuki ndipo limekuja kutoa msaada mkubwa kwa Somalia.
Kumbuka hawa Sadh Arabia ndio walitoa msaada mkubwa kwa Marekani kuhakikisha Saddam Hussein anaondoka madarakani pamoja ni msuni mwenzao, ni hawa hawa Saudh Arabia ndio walitoa mchango mkubwa wa kumuondoa Ghaddafy msuni mwenzao ni hawa hawa Saudh Arabia wanaondesha vita vya Syria kwa maslahi ya kuhakikisha bomba la gesi litajengwa kutoka Qatar kwenda Ulaya.
Unapokuwa na fikra za kuwaza usunii na ushia ni kuwa na mawazo potofu kichwani kwako. Leo wakimbizi wa Syria wametapakka dunia nzima imefikia hata nchi ambazo si za kiislam zimewapokea na kuwapa hifadhi wakati hao unaowaitaa masunii wa Saudh Arabia wameshindwa hata kupokea mkimbizi mmoja.
Mie mada yangu kubwa sio kuingilia masuala ya madhehebu yeyote kwenye uislam mada yangu kubwa Saudh Arabia inaendesha vita na majirani sababu ya kiuchumi na kulinda familia ya kifalme.
 
Soma vizuri kuna kipande nimemjibu mtu mwingine na sehemu nyingine nimekujibu wewe. Na kimsingi sijakataa uchambuzi wako juu ya nini kinafanywa na Saudis(Sunnis). Nilichokisema ni kuwa tatizo la middle east na north Africa/horn of africa ni ubaguzi kati yao. Ndo maana nikakutolea mfano wa Kurdis.Ambao hata somalia ndo iko hivo hivo wanagombana koo na koo. Wasomali nywele ngumu na laini etc

Sasa mnapokua na mpasuko kati yenu wa kihistoria. Mtu yeyote anachomeka agenda zake. Msaud na US wanabebana kwakua kuna interests zinafanana hivyo hivyo muisrael na msaud wanapatana kias kwakua kuna tishio la muIran.

Nikupe mfano kilichotokea Iraq na Saddam kuondoka ni nini Al malik alikifanya??? Hapo msaudi akarudi kwa mlango wa nyuma na AQI(al qaeda in mesopotamia) hio ni baada ya sunnis kuanza kutengwa. Na hawa AQI ndo IS wa leo.

Kwahio hii ni cycle inayoendelea. Ni mashindano ya kidini. Mmoja anaona akipata mwenzake atamuangamiza. Na hapo ndo capitalists wanapiga hela.
Sijapingana na wewe. Nimekwambia hio sio root cause.
Sababu ni 1:kidini(wahabi vs sufi)
2:influence 3:finance(hapo ni watu binafsi km makampuni ya kimarekani/kirusi/pia watu binafsi ktk serikali au ukoo wa saudi sio taifa. Halafu ya 3: economic( mataifa kama mataifa)
 
Vita vya koo Somalia vimeisha miaka 17 iliyopita na ndio maana bunge la Somalia limechagua Rais mpya wa Somalia kutoka ukoo wa Dikteta Marehemu Said Barre aliyeangushwa na koo zingine mwaka 1991.
Tatizo la Somalia ni hao mashetani Alshaabab ambao ni kikundi kimejumuisha kila kabila.
 
niliona video kadha ya raia wa Yemen kupitia Al Jazeera daaah balaa. hali ni tete. watoto wamekondeana kwa utapiamlo. ni inatisha kwa kweli. UN must act.
 
Mkuu Tafadhali ungetuwekea source ya habari yako? Nijuacho ni kwamba kule Yemen kuna nguvu kubwa sana ya shia wenye mpango wa kuvamia kaabah na kuivunja na hiyo ni ktk itikadi za kishia kuwa kila suni na asiekuwa shia damu yake ni halali kumwagwa haikuishia hapo shia wakaendelea mbele zaidi mpk wakafikia kuuwa mahujaji walioenda kufanya hija na kucreate propaganda kuwa watu walikanyagana kwa sababu mtoto wa mfalme alipita njia moja yeye na walinzi wake na kufanya watu wabanane njia nyingine lakini walisahau kuwa ule msikiti wote una CCTV cameras hivyo walionekana wakipulizia gesi za sumu ktk hijja na baadhi ya wauwaji hao nao walikufa kwa gesi hizo ktk upekuzi walikutwa wamejiandika miguuni majina ya hawa maswahaba UTHMAN,ABUUBAKAR na UMAR wakimalizia na neno laanatullah yaani laana za allah ziwe juu yao .....Huenda umeamua kujiongelea tu hujui chochote kuhusu unachoongea na tukwambie kuwa wale mashia wa yaman wanaojiita answar llah wanapata msaada moja kwa moja kutoka iran sio hivyo tu hata kundi la hizbullah (mashia) pia wanapata msaada moja kwa moja kutoka iran .....
KWA NINI IRANI ITOE MSAADA KWA HAYA MAKUNDI?
Ni kwa sababu IRAN ndiye founder wa haya makundi na ukiangalia Sera za haya makundi utakuta ni Sera za IRAN za wazi kabisa
NI NANI SUPOORTER WA HAYA MAKUNDI UKIACHA IRANI(Founder)?
Ni RUSSIA na huyu lengo lake ni kuiangusha serikali ya marekani kila ambapo marekani ameweka maslah vivyo hivyo mrusi akiwa na maslahi makubwa sehemu lazima mmarekani amuharibie...so in short ni kwamba mrusi pia anasupport makundi ya kihishia ingia you tube ujionee kundi la kigaidi la hizbullah kwa kushirikiana na answar-llah wa Yemen wamegundua mabomu ya ballistic kwa ajili ya kuishambulia saudia na washirika wake OK tell me brother ni wapi wamepata hiyo technology?
SYRIA-Yule raisi wa Syria ni shia anapata misaada direct kutoka Iran na Russia then angalia mwamerika na muisrael alivyocreate ISIS is this (ISLAMIC STATE?) or ISIS (Israel Secret
Intelligence Service -Yap this is ISIS) watu wanapambana kwa kutetea maslahi yao na ukitaka kuthibitisha hilo angalia hivi sasa mmarekani na mrusi wanavyopigana Syria lakini kabla ya hapo mlikuwa na fikra mgando kuwa ISIS ndo uislamu haya tunasubiri muambiwe kuwa NORTH KOREA ni waislamu na wanatekeleza Sera za uislam na kwa jinsi baadhi yenu mlivyo mambumbumbu mtakubali tu alafu mwajisifu mmesoma atii mmekisoma nini nyinyi? maana hata vinavyoonekana bado mpk muambiwe mnatia aibu sana
KUHUSU SOMALIA
pale founder wa al shabab anajulikana kuwa ni mmarekani na ameanzisha kwa lengo la kutetea maslah yake na isingekuwa hivyo mpk hivi sasa tuongeavyo al shabab isingekuwepo licha ya hivyo ndani ya Al shabab kuna wamarekani wengi sana mfano Abuu mansur al amriki (amrik means mwamerika) tena huyu alikuwa kiongozi wa juu sana ndani ya al shabab vipi useme wasaudia au umesikia jina la msaudia akiongoza al shabab? Saudia raia akigundulika kuwa anajihusisha na terrorism hukmu yake ni kifo hadharani vipi useme wao hawataki somalia itawalike? unajua msaada anaotoa saudia kwenye nchi zenye vita? kabla hujapost kitu ktk media jitathmini je unachopost ukiulizwa maswali unaweza kukitetea?
ndugu punguza povu kwanza...

twende taratibu...

umesema Saudia ukijulikana unafanya terrorism unanyongwa hadhadani? hiyo terrorism inakuwa against who?

amriki ni amerika hapo umeonesha kipaji chako cha ku connect dots.

swali: wewe Shia au Sunni?
 
niliona video kadha ya raia wa Yemen kupitia Al Jazeera daaah balaa. hali ni tete. watoto wamekondeana kwa utapiamlo. ni inatisha kwa kweli. UN must act.
mtoa mada ulichokiona ni man made disaster Saudh Arabia inazuia hata meli za kupeleka misaada ya kibinadamu isiingie Yemen mbali na kuwapiga raia wasiokuwa na hatia mabomu kila siku.
Angalia double standard za nchi za magharibi Rais Assad wa Syria anapigana na vikundi vya kigaidi vilivyo vamia nchi yake anaonekana ni mbaya lakini Saudh Arabia inapofanya mashambulizi kwa nchi ya Yemen ni okay.
 
duh;
mm huwa najiuliza juu ya somalia inakuaje nchi hii haishi vurugu? Je, inautajiri wa aina gani huo usiokuwa na kikomo.
sasa nmejua leo bowie asante kwa taarifa.
Nchi yoyote yenye vurugu kuna kitu cha thamani hapo... Vurugu inaanzishwa ili kuwafanya wawe weak ili iwe rahisi kuwadhulumu!!!
 
Vita vya koo Somalia vimeisha miaka 17 iliyopita na ndio maana bunge la Somalia limechagua Rais mpya wa Somalia kutoka ukoo wa Dikteta Marehemu Said Barre aliyeangushwa na koo zingine mwaka 1991.
Tatizo la Somalia ni hao mashetani Alshaabab ambao ni kikundi kimejumuisha kila kabila.

Sasa ndugu yangu mbona unajipinga mwenyewe. Ukichambua kutokea 1960 ilipopata uhuru somalia usiseme vita vya koo vimeisha kama vile havikuwepo. Ile mwaka 93 baada ya Bare kuangushwa kulikua na Al shabab??

Kila factor lazima uitizame ndo utaelewa sababu za kihistoria ndio utaelewa nini kinachogombewa na kina nani wanatumika tu kama pawns
 
vita ya waarabu ni shia na suni hakuna ingine ukisikia ingine ni propaganda hiyo. so acha bla bla zako
 
Back
Top Bottom