Sidhani kama upo sawa kwangu mimi chuo ni choice ya candidate mwenyewe na sio kufuata mkumbo wa watu. Mfano linganisha havard na California institute of tech ingekuwa bongo ungeona wanafunzi wengi wanakimbilia havard kwa ajiri ya jina kubwa lakini kwa wenzetu ni tofauti and the likes.Pole sana kilaza wewe
UDSM ni state university, kuwa na adabu
ulifeli form six ukakimbizwa vyuo vya kata