Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,735
- 59,154
Hakuna noma jooWhat happened to this thread i was here 5hrs ago kulikuwa na 31 comments Kidogo napata 215 replies wtf happened?
Hakuna noma jooWhat happened to this thread i was here 5hrs ago kulikuwa na 31 comments Kidogo napata 215 replies wtf happened?
Mnawapenda!! We na mwenzio nani?Hahahaha. Asante saana Tim kwa niaba ya wabongo tunashukuru kwa shukrani zako za Dhati. Tunawapenda saana wakenya.
Wasalimie shemeji zangu
Swez kukaa na donge moyoni mm namuambia kasie. Daby atajiju mwenyeweBe blessed!! Sa hv tushapata shosti wa Kenya inshallah Mungu akijaalia utakua mwenyeji wetu ntakuja na Saint Ivuga mzee wa matotoz mwnyew jus kiddng mtakatifu!
Hahaa waambie jiraniTukiwa kwa majirani onyesheni heshima basi hata kidogo.
Hawachelewi kusema hii ndiyo tabia ya wabongo wote kisa nyie wawili tu.
He hee, ze picture is fvckin funny. Angalia usivunje vitanda joh.Jaman uzi mtamuuuu, ila mwenzenu nnadhimisha sikukuu ya wafanyakazi hii leo hapa gesti..View attachment 503439
Hapa swahiba uko kikazi au shughuli binafsi?
Unadhani tz magaidi wataweza kushindana na RAIA ? Unajidanganya labda kushindana na polisi wataweza mana hata panya road walitusumbua kwa sababu ya polisi tukijichukulia sheria mikononi polisi wanawatetea hadi walipo ona madhara ya waarifu kwao ndo wanaacha ujinga mm naomba tz kusingekuwa na polisi tungeeshimiana waarifu washukuru sana polisiHaya basi walakin hao magaidi watakapoanza kukiandama kichwa chako hicho husiwalilie polisi maanake kibakuli chako hicho tabidi ulifunge.
Tabidi ukauchukue mkuki wako ukajitetee mwenyewe.
Tulijua upo somalia unajititimua kupigana na al shabbab mana hadi sasa team kdf vs al shabbab wawajafungana mabao bila bila 0 -0What happened to this thread i was here 5hrs ago kulikuwa na 31 comments Kidogo napata 215 replies wtf happened?
Jamaa alikuja once nadhani last month akacomment siku moja kisha akasepa.Leo nimeukumbuka huu uzi wangu, kwa kweli muda unayoyoma.