Samsung VS Other Android

Sasa uliwezaje kusema a3,j5 na note 3 na kuendelea zinazid other android phones ilihali hizo other Android huzifaham? Hilo ndio kosa lako...

Kaangalie lg g4
Lg g5
Lg v10
Lg v20
Lg g6

Kaangalie one plus 2
One plus 3
One plus 3T

Pia angalia vizur google pixels XL

Kuna huawei nexus 6p

Htc m10

Anza kuzipitia hizo chache ndio utajua kuna simu kari zaid ya hizo ulizotaja wewe..
All in all Samsung anafanya vizur na hii ni kutokana ana watu pia wanao mpa challenge..kuwepo kwa simu kari kwa manufacturer wengine ndio nayeye anatoa simu kari...kikubwa hapa ni kutaka kukujulisha kwamba zipo simu nzuri nyingi tu kuliko ulivyodhani wewe.
Nashukuru mkuuu
 
Simu ulizotaja umewahi kutumia sinshangi ukisema hivyo....kachungulie Soxy XZ au ZA au Z5 AU LG V10 na kuna simu ya kimarekan itakuja ina Ram GB12 CAMERA MP60 NA secondary ni 20MP nimeshangaa unaulizwa ubora wa simu unaonesha emoji kwanza samsung anawatengenezea battery kafoji cheti..!
 
Unavyosema other Android unaongelea simu gani?
Pia umesema kuanzia j5,A3,na note 3 hakuna simu ya kufananisha nazo real?
Kwanza mind yourself j seriz na A seriz ni mid range phones tu.

Nafikir unahitaji kuangalia vizuri other manufacturers wanafany kazi gani..Kuna LG ,Sony ,Htc na bado kuna kazi za kina one plus,google pixel ,wakina xiaomi,na wengine wengi tu...kinachokufunga ni hiyo sentence kwamba kuanzia "A3 ,j5 ,na note 3 hakuna simu ya kufananisha nazo"
mkuu nimegundua kuwa humu ndani kuna wengi ambao wameanza kutumia hizi smart hapa karibuni ndio maana wanasifia samsung wakihisi ndio simu pekee
hivi kwenye hizi android kuna wenye simu za ukweli kama sony,htc na lg naona wengi wanafuata jina la samsung bila kujua na ubora wa simu nyingine
 
Simu ulizotaja umewahi kutumia sinshangi ukisema hivyo....kachungulie Soxy XZ au ZA au Z5 AU LG V10 na kuna simu ya kimarekan itakuja ina Ram GB12 CAMERA MP60 NA secondary ni 20MP nimeshangaa unaulizwa ubora wa simu unaonesha emoji kwanza samsung anawatengenezea battery kafoji cheti..!
watanzania walio wengi wanaijua samsung pekee ndio maana wengi wanatumia samsung clone na sio original

samsung ni simu za gimmicks tu angalia hiyo simu yao mpya ya S8 imeshaanza kuzingua upande wa chaji na kioo kinajikoleza rangi nyekundu
 
Simu za TECNO za android zinaonekana mbaya kwa sababu ya mediatek versions wanazotumia, mediatek versions nzuri ni helio P10, helio P15, helio P20, helio P25, helio X20, helio X23, helio X25, helio X27 na helio X30. Simu ikiwa na mediatek tofauti na hizo hapo juu, hiyo simu itakuwa mbaya, ikiwa na mediatek za hapo juu, hiyo simu ni nzuri sana. Mpaka sasa simu nzuri za TECNO ni mbili tu, Phantom 6 na Phantom 6 Plus, ni nzuri kwa sababu zina mediatek za helio X10 na helio X20 respectively.
Ukitaka simu nzuri ya bei rahisi ya mediatek, hakikisha ina mediatek ya helio P10 au helio P15 au helio P20 au helio P25 au helio X10 au helio X20 au helio X23 au helio X25 au helio X27 au helio X30. Tofauti na hapo hilo simu litakuwa baya tu.
Mkuu hii simu yangu hii inatumia version gani ya mediatek?
 

Attachments

  • IMG_20170426_131809_539.JPG
    IMG_20170426_131809_539.JPG
    59 KB · Views: 45
mkuu nimegundua kuwa humu ndani kuna wengi ambao wameanza kutumia hizi smart hapa karibuni ndio maana wanasifia samsung wakihisi ndio simu pekee
hivi kwenye hizi android kuna wenye simu za ukweli kama sony,htc na lg naona wengi wanafuata jina la samsung bila kujua na ubora wa simu nyingine
Hio ndio shida...ila taratibu tu wataelewa mkuu
 
mtapiga kelele sana ila Iphone ni kitu ingine mazee" hayo ma samsung sijui ma tecno mtasubili sana kwa ios
Ni sawa ukisema hivyo, ila tecno usiiweke hapo, wewe compare samsung vs iPhone

Ilitakiwa useme "iPhone ni kitu kingne zaidi ya Samsung"

Tecno mpaka unaipambanisha na iPhone unakosea
 
Siku mmoja kati yenu akinunua Bugatti atatukana watu wote wanaotumia matoleo ya Toyota kuwa sio gari za kutembelea Bali ni km uchafu mnasahau mtu anatumia kitu kutokana na uwezo wake wa kipesa au mipango aliyojiwekea. Siwezi kununua simu 2m wakati kuna majukumu ya kifamilia sijayatekeleza.
 
Huyo ni phantom 6 plus! Msiwe mnaponda simu sababu tu inaitwa tecno itafuteni kwanza uione kwa makini halafu useme!! Saivi kuna competition katika ubunifu! Usilewe kw sababu samsung inatoa vitu bora ujue kuwa yule uliyemdharau jana usitegemee kuwa atakuwa duni maisha
 
Kila aloiponda phantom 6 plus aangalie kimeo chake halafu afananishe na huo mtwanga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom