Samatta , Kanumba na Diamond ndo vijana mlioacha alama chanya hapa Tanzania

God Fearing Person

JF-Expert Member
Apr 5, 2020
755
2,525
Kanumba (GOAT) wa filamu Tanzania

Diamond (GOAT) wa Muziki Tanzania

Samatta (GOAT) ktk Mpira Tanzania

Hawa ndo vijana ambao Tangia TAIFA la Tazania liwepo wameonesha kuwa Sky is limit ✊🏿
 
wamefanya nini? Sana sana Umalaya? (labda ukimuondoa huyu wa mpira, ambao ni low level na hauna contibution yoyote kwa Taifa) wengine ni umalaya!
 
Kanumba (GOAT) wa filamu Tanzania

Diamond (GOAT) wa Muziki Tanzania

Samatta (GOAT) ktk Mpira Tanzania

Hawa ndo vijana ambao Tangia TAIFA la Tazania liwepo wameonesha kuwa Sky is limit ✊🏿
Duh role model zenu bana 😄
Ndomana kila mtoto anataka awe
Mkata uno

Ova
 
Back
Top Bottom