RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 54,840
- 119,906
Yangenunuliwa makochi ya gharama hawa hawa ndio wangekuja huku kulalamika matumizi mabaya.Makochi ya ikulu yanamsaidia nini mwananchi wa Tandahimba kujikwamua na umaskini?
Nonsense kutaka makochi ya ikulu yakuvutie, yawe mabaya yawe mazuri ni Kodi zetu zinaungua, hao mnaowataka wanunue makochi mazuri hata Kodi hawalipi, simply mnaomba pesa zenu zinunue vitu ghali zaidi ilihali hivyo vitu haviwasaidii lolote wananchi walipa Kodi.