Samahani mtoa mada, Kasie siku zote ana matani sana. Baada ya kusoma huu uzi nimekumbuka wimbo mmoja unaimbwa hivi....
" ...Ntakupa Samaki ukinikubali, ntakupa samaki eeh
Ntakupa Samaki ukinikubali, ntakupa samaki eeh
Ooh samaki ooh samaki ntakupa samakiii eeh
Ooh samaki ooh samaki ntakupa samaki eeeh.."
Naomba baada ya kuimba hivo mada iendelee, dakika za matani na masikhara zimeisha.
Daudi nimeelewa ujumbe ulioumaanisha niwie radhi kama ntakuwa nimekukwaza.