chini ya muti
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 245
- 142
mdogo wangu nakushauri uende buguruni pale kuna sehemu inaitwa kimboka utapata hizo voda fasta fasta kwa jero hadi buku kulikoni hizo pasua kichwa za vyuo, pia unaweza ukaunganishwa na mitandao yote ya tigo na voda tena yenye kasi ya 4G kwa gharama ndogo tu kuanzia buku mbili hadi buku tano, uzuri wa pale ukishamalisha kifurushi/vifurushi vyako unaruhusiwa kujiunga na mitando mingine bila wasiwasi. tigo na vodacom!! kazi ni kwako!.