Nawe pia murembooHabari wanaJF
Nawatakia
sikukuu njema!!
Bora nitumiwe pesa hizi salam hata haznog.
Baby ahsanteHuyo Evelyn Salt nampokelea salam zake kwa ufupi zimefika
hakuna neno lenye samani kwa wapendanao AHSANTEBaby ahsante
Daah! Kazi kweli kweli!hakuna neno lenye samani kwa wapendanao AHSANTE
Pokea hiyo .....Asalaam alaykum wanajamii wenzangu.......
Hatuna budi kumshukuru mola kwa kutufikisha siku hii ya leo yenye furaha na raha tele....kwani ni wengi ambao walitamani kufika hawakufika.....
Ningependa kuchukua nafasi hii kuwatumia salam za ndugu zangu wanaJF wote popote na kuwatakia sherehe njema za Eid el fitr........
Hii inapendeza sana mkuu. tuko pamojaPokea hiyo .....
Nawapa wote hongera, wa pwani hadi wa bara,
Waumini wa Tabora, hadi kufika Mtwara,
Hongera na Ifakara, na ndugu wote Kagera,
Iddi Mbaraka hongera, amani iwe imara.
Hongera wa Morogoro, na kule Kilimanjaro,
Hongera wa Mvomero, Kidodi na Kilombero,
Pasiwepo na kasoro, hongera na wa Comoro,
Iddi Mbaraka hongera, amani iwe imara.
Hongera ndugu Dodoma, pamoja na Mzizima,
Sikusahau Musoma, na Waumini Kigoma,
Waume na kina mama, nawatakia uzima,
Iddi Mbaraka hongera, amani iwe imara.
Hongera ndugu Iringa, na Waumini wa Tanga,
Sikusahau Shinyanga, msiseme ninaringa,
Na Mungu Atawakinga, muepuke kila janga,
Iddi Mbaraka hongera, amani iwe imara.
Hongera ndugu wa Pemba, twajuana kwa vilemba,
Mimi kwetu ni Kimamba, nitakwenda kuupamba,
Nitembelee mashamba, ya mikonge na ya pamba,
Iddi Mbaraka hongera, amani iwe imara.
Hongera ninazirusha, ziwafikie Arusha,
Mungu Atawaepusha, kila baya kukomesha,
Yawe mazuri maisha, hakuna cha kuwatisha,
Iddi Mbaraka hongera, amani iwe imara.
Moshi, Mwanza na Rufiji, Bukoba hadi Ujiji,
Yawafikie faraji, Mungu Ndie Mlipaji,
Atimize mahitaji, asibaki muhitaji,
Iddi Mbaraka hongera, amani iwe imara.
Bagamoyo na Kilosa, na ndugu zetu Mombasa,
Mungu Atawatakasa, na madhambi Kupangusa,
Tupigwe sote msasa, tufutwe dhambi kabisa,
Iddi Mbaraka hongera, amani iwe imara.
Waumini wa Unguja, na wa Lamu kwa pamoja,
Mungu Awavike koja, Awapandishe daraja,
Inshaallah siku moja, kutembea nitakuja,
Iddi Mbaraka hongera, amani iwe imara.
Ndugu Kenya, Tanzania, na Uganda kadhalika,
Hongera nawatumia, mkono Iddi Mbaraka,
Kila pembe ya dunia, Mungu Atawamulika,
Iddi Mbaraka hongera, amani iwe imara.
Slave Dragoon CleverKING ora Madame S na wapendwa wengi wote!!
Umetisha Mkuu Big up brother.Pokea hiyo .....

Mkuu, najifunza kutoka kwenu maBingwa !!Umetisha Mkuu Big up brother.
Hahahaaa! Aahh! Wapi mkuu,hayo mambo magumu kwa watu kama sisiMkuu, najifunza kutoka kwenu maBingwa !!
swafi sana kiongozi salam zimefikaPokea hiyo .....
Nawapa wote hongera, wa pwani hadi wa bara,
Waumini wa Tabora, hadi kufika Mtwara,
Hongera na Ifakara, na ndugu wote Kagera,
Iddi Mbaraka hongera, amani iwe imara.
Hongera wa Morogoro, na kule Kilimanjaro,
Hongera wa Mvomero, Kidodi na Kilombero,
Pasiwepo na kasoro, hongera na wa Comoro,
Iddi Mbaraka hongera, amani iwe imara.
Hongera ndugu Dodoma, pamoja na Mzizima,
Sikusahau Musoma, na Waumini Kigoma,
Waume na kina mama, nawatakia uzima,
Iddi Mbaraka hongera, amani iwe imara.
Hongera ndugu Iringa, na Waumini wa Tanga,
Sikusahau Shinyanga, msiseme ninaringa,
Na Mungu Atawakinga, muepuke kila janga,
Iddi Mbaraka hongera, amani iwe imara.
Hongera ndugu wa Pemba, twajuana kwa vilemba,
Mimi kwetu ni Kimamba, nitakwenda kuupamba,
Nitembelee mashamba, ya mikonge na ya pamba,
Iddi Mbaraka hongera, amani iwe imara.
Hongera ninazirusha, ziwafikie Arusha,
Mungu Atawaepusha, kila baya kukomesha,
Yawe mazuri maisha, hakuna cha kuwatisha,
Iddi Mbaraka hongera, amani iwe imara.
Moshi, Mwanza na Rufiji, Bukoba hadi Ujiji,
Yawafikie faraji, Mungu Ndie Mlipaji,
Atimize mahitaji, asibaki muhitaji,
Iddi Mbaraka hongera, amani iwe imara.
Bagamoyo na Kilosa, na ndugu zetu Mombasa,
Mungu Atawatakasa, na madhambi Kupangusa,
Tupigwe sote msasa, tufutwe dhambi kabisa,
Iddi Mbaraka hongera, amani iwe imara.
Waumini wa Unguja, na wa Lamu kwa pamoja,
Mungu Awavike koja, Awapandishe daraja,
Inshaallah siku moja, kutembea nitakuja,
Iddi Mbaraka hongera, amani iwe imara.
Ndugu Kenya, Tanzania, na Uganda kadhalika,
Hongera nawatumia, mkono Iddi Mbaraka,
Kila pembe ya dunia, Mungu Atawamulika,
Iddi Mbaraka hongera, amani iwe imara.
Slave Dragoon CleverKING ora Madame S na wapendwa wengi wote!!
Kwanza kabisa niwatakieni eid njema wooote mliojaaliwa Na wale ambao hawakujaaliwa kufunga,
nimekumisa sana Slave jaman nashkuru nipo miongoni mwa uwakumbukao...sante sana kwa salam za eidKwa kuanza tu napenda ziwafikie salam Baba V Arabela
Mamndenyi Bishanga Vin Diesel Madame B Bitoz Evelyn Salt
a.rahabu aisee hii timu zamani naikumbuka sana embu mkumbuke na wewe umpendae .....wacha nijaribu kuyakumbuka majina yao nitarudi
Asante Tanga tumepata salamPokea hiyo .....