Salamu za Eid-El-Fitr

KikulachoChako

JF-Expert Member
Jul 21, 2013
18,908
36,254
Asalaam alaykum wanajamii wenzangu.......
Hatuna budi kumshukuru mola kwa kutufikisha siku hii ya leo yenye furaha na raha tele....kwani ni wengi ambao walitamani kufika hawakufika.....

Ningependa kuchukua nafasi hii kuwatumia salam za ndugu zangu wanaJF wote popote na kuwatakia sherehe njema za Eid el fitr........
 
mkuu hii ni eid mubarak!
 
Eid zote ni eid mubarak, hii ni eid el fitri na eid ijayo ni eid el hajj, neno eid mubarak ni neno la kiarabu ni kama kusema "Happy eid" au uwe na eid njema.

Asante kwa kunisaidia kumfafanulia.....uwe na wakati mwema ndugu yangu.....
 
The song to remember old gold days..!!
 

Attachments

  • Eid Mubarak.mp3
    2.3 MB · Views: 51
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…