Tetesi: Salama Jabir apigwa mimba

Yule aliyeleta mada ya kuwa Salama ni mzuri hivi ndie yake pengine
 
Dushe halinaga Tomboy Mkuu.

Ulidhani kule kukoromea washiriki wa BSS basi ni kinga?
 
Mtoto wa kiume unaanzisha maada kabisa. Salama apata mimba, so what, cha ajabu kipi, kwani hana costant "k", achana na udaku mkuu, niwie radhi lakini
 
Well,Mimi nadhani nimeelewa lilichomshangaza mtoa mada juu ya hio habari.

Nahisi ni kwa vile yule dada miaka yote hua anajiweka kama mwanaume 'tomboy' nadhani hicho ndio kilichomfanya mleta mada ashtuke kwa 'tomboy' kupata ujauzito.
 
Demu ni demu hata kama awe lesbian.. Fid q huyo
 
Kwani hana uwezo wa kubeba mimba? Heb acheni dharau, kwani yeye amesema kama ule mchezo hapendi?
 
Back
Top Bottom