Tupate kwanza maana ya Mshenzi:- 1. Ni mtu kutoka nchi ngeni, tamaduni, au kikundi kinachoaminika kuwa duni, si mstaarabu, au jeuri.
2. Mshenzi kulingana na kamusi ni mtu asiyejali mambo ya Ki-Mungu, asiyekuwa na staha, au adabu.
Kwa muktadha huo hii sala itakuwa ilitumika enzi za ukoloni ambapo ngozi nyeusi alichukuliwa kuwa MSHENZI. Shenzi sana hawa jamaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.