hapa ndipo watu wataona uzuri wa kujiajiri mwenyewe kuliko kuajiriwa.
Ha haa makonda noma utafikiria wanafanyiwa kipa imara
hapa ndipo watu wataona uzuri wa kujiajiri mwenyewe kuliko kuajiriwa.
.........wai sasa ? hewa au hao walio saini kiapo?HUU NI USHENZI NA UDHARIRISHAJI KWA WAFANYAKAZI.! IWEJE MAOVU YA CCM WATUPIWE WAFANYAKAZI?! WAMEKUBALI KWA UOGA TU! CCM ACHENI KU"HARASS" WAFANYAKAZI!
.........wapi sasa ? hewa au hao walio saini kiapo?HUU NI USHENZI NA UDHARIRISHAJI KWA WAFANYAKAZI.! IWEJE MAOVU YA CCM WATUPIWE WAFANYAKAZI?! WAMEKUBALI KWA UOGA TU! CCM ACHENI KU"HARASS" WAFANYAKAZI!
HUU NI USHENZI NA UDHARIRISHAJI KWA WAFANYAKAZI.! IWEJE MAOVU YA CCM WATUPIWE WAFANYAKAZI?! WAMEKUBALI KWA UOGA TU! CCM ACHENI KU"HARASS" WAFANYAKAZI!
Mbona unakuwa kiazi namna hii, ww una uhakika gani kwamba sikutoa hoja?ndugu kama ulishafanya kazi huko ukagundua kuna wafanyakazi hewa kwanini hukuwai hata kutoa hiyo Oja,hata kama sio ngazi za juu basi hata jamii forum...??? Hii ni ishara ya kinafiki.
sikuiona ungetoa details,ili tujue ni tatzo mlilolgundua muda mrefu.Alafu kama nyinyi wataalamu wa kusolve hayo maswala mlikaa bila kutulia mkazo kwenye kuyasolve hasa mnataka watu wenye taaluma za siasa wayasolve kama nyny mnavojua.....alafu hakuna kiazi katika kutoa hoja za kuelimishana ndo maana me nmekuuliza swali bila kukutukana.Mbona unakuwa kiazi namna hii, ww una uhakika gani kwamba sikutoa hoja?
Safi sana. Mfano mzuri sana huu kwamba unamtaadharisha mtu ya kile kitakachotokea endapo hatotimiza wajibu wake. Hapo hata kosa likitokea mtumishi huyo awajibishwe sawa sawa.
Wakuu wa Idara zote za jiji la dsm pamoja na maafisa Utumishi wa halmashauri za jiji wamesaini kiapo cha kazi mbele ya Mkuu wa mkoa na wakuu wa wilaya baada ya kubainika kutoa taarifa zisizo za kweli dhidi ya kuwepo kwa watumishi hewa katika idara zao baada ya kubainika watumishi hewa wengine 209 katika Uchunguzi wa Siku chache zilizopita.
Miongoni mwa masharti yaliokuwapo katika kiapo hicho ni kwamba iwapo ikigundulika kuwapo kwa watumishi hewa katika idara husika baada wiki moja ijayo,Afisa utumishi au mkuu wa idara hiyo atalipa gharama za mishahara iliyopotea,kushitakiwa kwa uhujumu uchumi,kuachishwa kazi lakini pia kufikishwa mahakamani.
Hatua ya kusaini na kula kiapo inatokana na baadhi ya wakuu wa idara pamoja na maafisa Utumishi katika jiji la DSM kudaiwa kutoa taarifa za uongo kwa Mkuu wa mkoa Paul Makonda na wakuu wa wilaya za jiji hilo baada ya kutoa idadi ndogo ya watumishi hewa kwa mkoa wa dsm ambao walikuwa 74 tu, huku uhakiki wa sasa uliofanywa na tume maalum ukibaini watumishi hewa 209 ambao wametafuna kiasi cha takribani shilingi bilion 2.7
Kiapo hicho cha kazi kiliionekana kuwa mwiba kwa watumishi hao wa mkoa wa DSM kutokana na wengi wao kushindwa kujaza,huku wakileta hoja ambazo zilionekana kutokuwa na nguvu kwa mkuu wa mkoa kwa kuogopa kujifunga mpaka pale Bwana Makonda alipotoa dakika 5 kujaza na kuwasilisha.
Baadhi ya wakuu wa idara pamoja na maafisa utumishi wamesema kiapo hicho ni kizuri kwa ajili ya Utendaji kazi lakini ni mwiba kwa wakuu wa idara hasa kutokana na wengi wao kufanya kazi kwa mazoea, huku Katibu tawala wa mkoa wa Dsm THERESIA MBANDO akikiri kuwepo kwa taarifa zenye utata juu ya idadi ya watumishi hewa.
Source: Channel Ten
Jamani this is too much,aisee kulipa tena,wallah tukatae unyanyasaji kisa cha kunifanya kuapa,wallah mimi ningeandika notsi ya masaa 24
Makonda Ni Mpuuzi, atakuja Kumletea aibu Kubwa Rais, I wish I was one of them! Kuna Kamnyama Fulani Kanaitwa Squirrel, huwa mimi nakaita Suicide Squirrel kwani saa zote Kana rukaruka, Katarukia mbele ya gari liendalo kasi, Katarukia Kwenye nyaya za umeme, mbele ya treni nk. Saa zote Ni kukurupuka tu. Watu wa aina ya Makonda hawabadiliki wana ADD ni Drama Queens. Ananiudhi sana Na Maigizo yake. Nani amempa Mamlaka ya Kuwaapisha-apisha watu?
Shida anaachiwa bila challenge Kwa Kuwa Rais anamsifu sifu, Makonda is a CCM stooge anayeaminiwa kufanya Kazi za siasa chafu ambazo Vijana Wenye akili kama Akina Mwigulu Nchemba walishazitema.
There is No Polite way to rebuke and challenge this guy, Mnakumbuka wakati fulani Askofu fulani alikuwa na Kesi na akiwa Bado Mahututi Makonda akampelekea Barua ICU anataka naye aende kwake akamhoji, Yaani Polisi waliomhoji yeye anaona walikuwa Wanasesere yeye ndio yeye!
Sheria Tayari ipo Mwizi, Fisadi, Mzembe, Mbadhilifu anatakiwa aachishe kazi na Ashtakiwe kama Rais anavyofanya.
Sio Kuapishwa au Kusomewa Albadiri au Kukemewa mapepo, au Kumwagiwa Maji ya Baraka. (SHERIA TAYARI ZIPO - MKAONDA ACHA MAIGIZO ACHA KUTAFUTA UTUKUFU) Maana sasa Tabia zako Ni Beyond Kutaka SIFA
WE KWELI CHUPI!