Una mponda jk wakati bado unampenda unafiki bwana.Angalia hyo avatar yakoMbona Magufuli ni mwanasiasa lakini hafanyi siasa?
Mkuu,mbunge anachaguliwa na wananchi si takukuru isipokuwa takukuru watampa adhabu akibainika na pia spika na kamati yake atakachofanya ni kutoa adhabu ikiwa ni pamoja na kuvuliwa nyazifa zao. Wenye hali mbaya ni wale waliotoa rushwa kwani kama ni watumishi wa serikali watatakiwa kuachishwa kazi na kupelekwa mahakamani. Hii itasaidia pia kuleta ajira kwa nafasi zinazobaki wazi.Na mbunge yeyote ikidhibitika kaomba rushwa afukuzwe na ubunge italeta heshima
Lakini hii imekaa vibaya wadau kumbukeni kuwa yuko mr. yuda (zito) ambaye pamoja na kasoro zake huwa hakurupuki saaaana. Hii maana yake ni kuwa kuna kaukweli flani. Pili huyu bwana zito kamati aliyopangiwa ndo hivo haina kick kiviile kwa hiyo kwenye kick ni hapa pa kuchungulia wajingawajinga na kuwachoma baaasi.Utasikia uchunguzi bado unaendelea wabunge wachumia tumbo wataumbuka sana hasa yale CCM
Wazo lako zuri isipokuwa watatumia kifungu kipi cha sheri cha kumvua ubunge? Njia pekee ni chama chake kumfuta au kumvua uanachama hivyo AUTOMATICALLY atapoteza ubunge. Lakini asije akakimbilia mahakamani na kubaki na ubunge kupitia mahakamani kama walivyofanya wengine katika bunge lililopita.Na mbunge yeyote ikidhibitika kaomba rushwa afukuzwe na ubunge italeta heshima
hao wah. wabunge ni wa ccm enhee? Ndiyo kawaida yaoNi kweli kabisa. Kama wanavyotumbuliwa watendaji wa serikali, basi na hawa waheshimiwa watumbuliwe ama wajitumbue wenyewe
politics is about power and authority-hasa kwenye nchi za kiafrika ambazo rais ndio above kila kitu.mfano Takukuru wakimchunguza magufuli kwa tuhuma za ufisadi na ikathibitika ni nani ambaye atamfunga magufuliMbona Magufuli ni mwanasiasa lakini hafanyi siasa?
Ndio tuione sasa tuthibitishe kama ina makali,tuliyo yaona na kuyasikia kabla yame tufanya tusiwe wepesi sana kuwa amini.Haswaaa. Ila TAKUKURU ya Magufuli ni tofauti na ile ya Kikwete
Mhalifu wa CCM hatumbuliwi labda huyo Zitto ambaye hata hivyo CCM wanamkubali kwa vile ndege wa manyoya yaliyofanana huruka pamojaNi kweli kabisa. Kama wanavyotumbuliwa watendaji wa serikali, basi na hawa waheshimiwa watumbuliwe ama wajitumbue wenyewe
Mkuu, TAKUKURU haitoi adhabu. Wao wanafanya uchunguzi na wakidhani una kesi kesi ya kujibu basi wanakuburuza mahakamani. Mahakama ndio itaamua kama una hatia ama la na itatoa adhabu kwa mujibu wa sheria.Mkuu,mbunge anachaguliwa na wananchi si takukuru isipokuwa takukuru watampa adhabu akibainika na pia spika na kamati yake atakachofanya ni kutoa adhabu ikiwa ni pamoja na kuvuliwa nyazifa zao. Wenye hali mbaya ni wale waliotoa rushwa kwani kama ni watumishi wa serikali watatakiwa kuachishwa kazi na kupelekwa mahakamani. Hii itasaidia pia kuleta ajira kwa nafasi zinazobaki wazi.
Safi sana Zitto.View attachment 332273 Akiandika kwenye akaunti yake ya Twitter, Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Zuberi Kabwe amesema kuwa amepokea wito wa kwenda Makao Makuu ya TAKUKURU kuhojiwa kutokana na sakata la Rushwa ndani ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma za Jamii. Amesema kuwa Amesikia pia na Hussein Bashe naye ameitwa na kwamba anafurahi sana kupokea wito huo kwa vile atasema kila kitu na ukweli utabainika.
Ngoma inogile. TAKUKURU acheni siasa ili wananchi wawe na imani nanyi. Msaidieni Rais kutumbua majipu hata kama yamekaa sehemu mbaya
Kuomba tu? mbona waliochukua majaba ya pesa ya Escrow ni mawaziri!Na mbunge yeyote ikidhibitika kaomba rushwa afukuzwe na ubunge italeta heshima