Mfano Kwa Hapa Ugomvi Wa Lipumba Na Seif Ni Kwasababu Ya "Madaraka" Na "Pesa" . Kuna Mambo Ambayo Watu Wanayaona Na Kuyapigia Kelele Kwamba Ni Kosa Ni Kwasababu Yanafanywa Na Mtu Fulani, Ila Jambo Lile Lile Likifanywa Na Mtu Wao, Inakuwa Poa Tu.
Hapa Kila Mmoja Katengeneza Kundi Lake Loyal Basi Maisha Yanaenda ~ Naona Ni Kuzidiana Ujanja Tu, Maalim Seif Alichota 85M ( Hakukuwa Na Kosa ), Prof Naye Kachota 385M ). Mimi Hata Kibarua Cha 5000 Sina.