Sakata la ruzuku ya CUF: Kambaya na Mtatiro ndani ya Star tv

Kumbe siku hizi mnatazama Star TV? Bavicha mnashangaza sana
Hata siku moja usiwaamini BAVICHA! Wanaongea hili wanatenda lile. Tungekuwa na uwezo wa kujua nani kampigia nani kura 2015 ungeshangaa kuona wengi wao walimpa kura Magufuli kwasababu wanamuamini. Kelele humu mtandaoni ni ili wapate ulaji kutoka kwa Mzee Wao Aliyegoma Kwenda Kuchunga.
 
Mfano Kwa Hapa Ugomvi Wa Lipumba Na Seif Ni Kwasababu Ya "Madaraka" Na "Pesa" . Kuna Mambo Ambayo Watu Wanayaona Na Kuyapigia Kelele Kwamba Ni Kosa Ni Kwasababu Yanafanywa Na Mtu Fulani, Ila Jambo Lile Lile Likifanywa Na Mtu Wao, Inakuwa Poa Tu.

Hapa Kila Mmoja Katengeneza Kundi Lake Loyal Basi Maisha Yanaenda ~ Naona Ni Kuzidiana Ujanja Tu, Maalim Seif Alichota 85M ( Hakukuwa Na Kosa ), Prof Naye Kachota 385M ). Mimi Hata Kibarua Cha 5000 Sina.
Mwenye kosa ni Lipumba kwani ni mvamizi na mwizi tu,Seif ana haki zote ni tofauti na Lipumba ambaye kapachikwa na msajili ili wagawane pesa za ruzuku gheto
 
Kama msajili wa vyama vya siasa naye angehojiwa lingekuwa jambo bora, vinginevyo kuwaleta Kambaya na Mtatiro ni sawa na kuwashindanisha mashabiki wawili wa Simba na Yanga. Mwenye jibu la ya suala hili ni Msajili wa Vyama vya siasa.
 
Back
Top Bottom