Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,185
- 18,513
ana haki ya kuimba anachotaka kama hakivunji sheria, wao wanataka wanapo iba tunyamaze, Ila sisi tukifanya kosa watutangaze hadharani. wananchi lazima tuungane, watuteke wote labdaNilivyomuona azam news sijategemea kama ndio Roma yule niliyekuwa nasikiliza nyimbo zake jk akiwa madarakani..hili ni funzo tosha kwa wasanii wengine wasioweza kutumia maiki zao kufanya biashara badala yake wanatumiwa na wanasiasa..kumbuka ukiimba utashangiliwa ila kwenye torture utaingia peke yako..