Majambazi ya kudhuru watu ulishawahi kuyaona wapi???Kama tutalihusisha tukio la Roma na vyombo vya usalama basi Tanzania tuna TISS iliyobora kabisa Afrika. Tuipongeze na tuzidi kuitia nguvu kwa maslahi ya taifa letu. Kama ni majambazi ya Dar tuyaombee laana
Mkwara tuHuyuhuyu Roma Alijitolea Sadaka Na Yuko Tayari Kutupwa Daraja La Mkapa?
Chezea Kifo Wewe!
He said it all "hatuko salama na tunahofia usalama wa maisha yetu" kama vyombo vya usalama alivyovishukuru kinafiki viko upande wao na waziri pembeni yake unafikiri angesema hayo? Uwoga wote ule ni kwasababu gani...alikuja maelezo kusema nini? Hivi Mwakyembe alifurahi nini pale? Hivi kweli huyu Mwakyembe hajajifunza ubaya wa udhalimu baada ya yaliyomkuta???Sasa kwa maumivu akifa usiku huu bila kusema kilichomsibu siutakuwa ujinga..!
Angesema tu kinachoendelea.
Iddy Amin alikuwa na kikundi chenye sifa kama ya hicho unachokisifiaKama tutalihusisha tukio la Roma na vyombo vya usalama basi Tanzania tuna TISS iliyobora kabisa Afrika. Tuipongeze na tuzidi kuitia nguvu kwa maslahi ya taifa letu. Kama ni majambazi ya Dar tuyaombee laana
Tutarajie Roma 'kutoweka" nchini na kwenda mahali kusikojulijaba......
Si tuliona namna Dr Ulimboka 'alivyotoweka' tokea mwaka ule 2012 mpaka leo hatujamsikia tena?
He said it all "hatuko salama na tunahofia usalama wa maisha yetu" kama vyombo vya usalama alivyovishukuru kinafiki viko upande wao na waziri pembeni yake unafikiri angesema hayo? Uwoga wote ule ni kwasababu gani...alikuja maelezo kusema nini? Hivi Mwakyembe alifurahi nini pale? Hivi kweli huyu Mwakyembe hajajifunza ubaya wa udhalimu baada ya yaliyomkuta???
Serikali inajipaka matope yenyewe siyo sisi wananchi tunayoipaka matope.....Wewe mpumbavu unawajua waliomteka Roma? Acha kuipaka matope Serikali!
Uvamizi wa kituo cha TV au Redio ni kosa la Jinai. Kwa nini Clouds wasiende Polisi wenye kazi hiyo? Nape alijipa kazi ambayo si yake ndio maana akatoswa kwa kutokuwa na weledi wala ufahamu wa Serikali inavyoendeshwa!!Serikali inajipaka matope yenyewe siyo sisi wananchi tunayoipaka matope.....
Hebu nikuulize swali dogo tu wewe 'mtetezi' mkubwa wa serikali hii?
Ni kwa nini Nape amefukuzwa kazi eti kwa 'kosa' la kuunda Tume tu ambayo ilijiridhisha pasipo shaka yoyote kuwa Clouds TV ilivamiwa usiku na askari wenye silaha za moto na huyo akiyeongoza uvamizi huo ambaye ni Mkuu wa mkoa wa Dar hadi leo yupo kwenye nafasi yake ya ukuu wa mkoa!?
Ni kwa nini yule aliyemtolea bastola hadharani Nape pale Protea mchana kweupe huku akirekodiwa na vyombo mbalimbali vya habari na pamoja na agizo la Waziri wa mambo ya ndani Mwiguru kumwagiza IGP kuhakikisha kuwa yule aliyemtolea bastola Nape akamatwe Mara moja na kufikishwa kwenye vyombo vya sheria, lakini agizo la Mwigulu limegonga mwamba na yule jamaa 'ameshindikana' kukamatika?
Hivi katika mazingira hayo ambayo si kamanda Sirro wala IGP Mangu wala Waziri Mwigulu kwenye uwezo wa kulidhibiti hilo kundi la 'Bashite Forces' ni kwa nini sisi wananchi tusiamini kuwa hilo kundi linafanya mambo yake ya uharamia wa kutisha with full blessings toka kwenye like Jengo lililoko pale Magogoni?
Nape siyo Polisi. Utekaji ni kosa la Jinai. Alitumbuliwa kwa kufanya kazi isiyo yakeSerikali inajipaka matope yenyewe siyo sisi wananchi tunayoipaka matope.....
Hebu nikuulize swali dogo tu wewe 'mtetezi' mkubwa wa serikali hii?
Ni kwa nini Nape amefukuzwa kazi eti kwa 'kosa' la kuunda Tume tu ambayo ilijiridhisha pasipo shaka yoyote kuwa Clouds TV ilivamiwa usiku na askari wenye silaha za moto na huyo akiyeongoza uvamizi huo ambaye ni Mkuu wa mkoa wa Dar hadi leo yupo kwenye nafasi yake ya ukuu wa mkoa!?
Ni kwa nini yule aliyemtolea bastola hadharani Nape pale Protea mchana kweupe huku akirekodiwa na vyombo mbalimbali vya habari na pamoja na agizo la Waziri wa mambo ya ndani Mwiguru kumwagiza IGP kuhakikisha kuwa yule aliyemtolea bastola Nape akamatwe Mara moja na kufikishwa kwenye vyombo vya sheria, lakini agizo la Mwigulu limegonga mwamba na yule jamaa 'ameshindikana' kukamatika?
Hivi katika mazingira hayo ambayo si kamanda Sirro wala IGP Mangu wala Waziri Mwigulu kwenye uwezo wa kulidhibiti hilo kundi la 'Bashite Forces' ni kwa nini sisi wananchi tusiamini kuwa hilo kundi linafanya mambo yake ya uharamia wa kutisha with full blessings toka kwenye like Jengo lililoko pale Magogoni?
Nina kumbukumbu ya hiko kikundi cha kule Uganda kwenye miaka ile ya 70 enzi za dictator Idi Amin Dada, ambapo kikundi hicho kilikuwa kinaongozwa na mtu mmoja aliyekuwa anaitwa Malyamungu, ambapo kikundi hicho kilikuwa kinafanya mambo yanayoshabiana sana na kikundi chetu cha hapa nchini cha 'Bashite Forces'Iddy Amin alikuwa na kikundi chenye sifa kama ya hicho unachokisifia
Huo ndio ubora? Wa kutisha watu kwa kumlinda Toshiba? Sorry brother you are wrong. Yaani ulipe kodi wewe walipwe watu mshahara ili waje kukuteka? Badala ya kukulinda?Kama tutalihusisha tukio la Roma na vyombo vya usalama basi Tanzania tuna TISS iliyobora kabisa Afrika. Tuipongeze na tuzidi kuitia nguvu kwa maslahi ya taifa letu. Kama ni majambazi ya Dar tuyaombee laana