Sakata la madawa ya kulevya: Hizi ndizo faida za RC makonda kutaja majina maarufu hadharani

Mimi faida niliyopata ni kujua rangi halisi ya wabunge wetu bila kujali vyama vyao.
 
Kunakipindi huwa sipendi kuchangia ila hulazimishwa

Mkuu, hata siku moja usije kujidanganya kuwa hayo majina makonda kajiokotea, yametoka kwenye chanzo mahususi kabisa, na kabula ya kuyataja mkuu alishirikishwa...

Ndiyo maana hayo majina yameandikwa kwa mkono... We huwezi kujiuliza kuwa kwa nn yaandikwe kwa mkono, au unafikiri yalikosewa...?

Hyo ni mkakati maalum na wale waliogoma wasubr kamatakamata inakuja,

Pia maneno vzr ya makonda na mkulu, utaona something between the line...
Kwa akili yako ya shule ya kata chanzo kikubwa cha uchunguzi kije na jina la HOW COME MPEMBA, au Milinga wa Tangi bovu bila hata kumchunguza vizuri huyo mtu. Chanzo kikubwa kiandike majina kwenye karatasi za kufungia vitumbua. Hii nchi umaskini hautaisha kama vijana mna IQ ndogo hivi. Mnatishwa hata na chui wa mabox
 
Jambo hili kila mtu hulitazama kwa eneo alilosimama.

Nape amesema ni kuua brand ya wasanii waliyojenga kwa muda mrefu. Nape ni waziri wa utamaduni.

Gwajima amesema ni shambulizi dhidi ya ukristo na maaskofu. Gwajima ni Askofu.

Manji amesema ni kuua reputation ya wafanyabiashara wakubwa waonekane utajiri wao ni wa madawa. Manji ni Billionaire na diwani wa ccm mbagala. Hajazungumzia siasa sababu its nothing kwake. Kwake biashara ni kitu. Amesimamia eneo la biashara

Mbowe amesema ni shambulio dhidi ya upinzania Tanzania ili kuua upinzani.

unatazama jambo pale uliposimamia

*Mimi naona Makonda anapiga deal na wafanyabiashara wakubwa kwa kuwataja wasiohusika na kuwaacha wanaohusika, kwa namna hiyo anamdanganya Rais

*Deal hilo linaweza likaanzia kwa utajiri wa ghafla wa Makonda kadri ya maneno ya Msukuma aliyeomba Makonda kuchunguzwa*

Mimi naamini Rais akijua kuwa hizi ni drama, kwa sababu naye anapenda drama za sifa, akafikiri Makonda anapiga kazi anajidanganya.

Nina mashaka sana na unprofessional approach ya watuhumiwa kuanzia na karatasi yenye majina utadhani majina ya wapiga kelele yaliyoandikwa Monitress mnoko mwenye sura mbaya wa darasa la Nne B.
Taja Wa kwako tuone!!
 
Ua

Vikanisa kidogo vya kujipachika tu Uaskofu
 
Tujiandae kulipa Lawsuit yake. Manji najua si chini ya B1, Gwajima mpenda sifa B50, Mbowe B100 hapo anaunganisha na ishu ya National Housing kabisa.

Wanyonge tunaenda kulipa hizo pesa.
Makosa ya makonda atalipa makonda mwenyewe
 
Wakati watumishi wa umma/serikali walipotumbuliwa hadharani hili bunge lilikuwa wapi?leo hii wanapotajwa watuhumiwa wa madawa ya kulevya bunge limewaka moto kuwatetea!hili bunge linaendeshwa na nani?liko kwa maslah ya nani?
Hilo la kutumbuliwa watumishi wabunge wa upinzani walilitolea kauli.
 
Baada ya RC Makonda kutaja majina ya watu maarufu hadharani kwa kuwahusisha na madawa ya kulevya, faida zifuatazo zimepatikana na zitapatikana:
1. Ubaya wa kumtaja mtu kwa tuhuma hadharani pasipo uthibitisho

2. Wanyonge waliotajwa hadharani kujua haki zao kikatiba
baada ya kuwataja watu maarufu akiwemo mwenyekiti wa Chadema

3. Wakuu wa Mikoa kujua mipaka yao na namna ya kushughilika na Mambo mbalimbali katika Mikoa yao

4. Nguvu ya Bunge katika kuwadhibiti viongozi wateuliwa na kuilazimisha mamlaka ya uteuzi kutengua uteuzi

5. Ongeza faida zingine kwa mwendelezo huo kabla hatujaangalia upande wa hasara zake

Umuhimu na ulazima wa kutengeneza katiba inayokubaliana na ukweli kwamba binadamu wengi ni vichaa. Usiwaamini kwa kila kitu bila udhibiti ukitegemea kila siku watasimama katika kweli na haki.
 
Ccm walichoweza ni kumfunga mbunge wa cdm Lijuakali na kuhangaisha familia ya Lema mahakamani kwa kesi za kijinga zisizo na athari za kitaifa,kesi za majungu eti ccm sasa imekomaa nalo wewe,na mahakama yetu ya Arusha iko mfukoni mwa mkuu wa mkoa kila jambo la Lema analoomba wanakrash,igeni mahakama ya Marekani ilivyosimama kidete kumpinga Trump wanasomamia katiba ,nyie mmebaki kuendesha kesi za majungu hizo za ccm,mmekomaa nzo hamna ata aibu,mbunge mzima mwenye kutambulika mmemgeuza Kama mke wenza wenu,alaaniwe yeyeote anayetesa familia ya Lema kwa majungu na siyo sirias ishu kwa kumnyima dhamana
Shame! Kwa hiyo mnasema Uhuru wa Mahakamani ni Wapinzani kushinda kesi? Mburula sana nyie!!!
 
Mwacheni makonda Stanley kazi yake, wote wanao msakama aidha ni watumiaji, maajent wa dawa za kulevya au ni vibaraka wa waovu waliotajwa au ni watu ambao hawajapata madhara ya madawa haya ndani ya familia zao hivyo wanacheza ngoma wasioijua
 
Tujiandae kulipa Lawsuit yake. Manji najua si chini ya B1, Gwajima mpenda sifa B50, Mbowe B100 hapo anaunganisha na ishu ya National Housing kabisa.

Wanyonge tunaenda kulipa hizo pesa.
Ila kweli mkuu hata mm ningetajirikia kwenye hii kesi, yaani ata tumilionia Mia moja tungetosha sana kuuaga umaskini
 
Baada ya RC Makonda kutaja majina ya watu maarufu hadharani kwa kuwahusisha na madawa ya kulevya, faida zifuatazo zimepatikana na zitapatikana:
1. Ubaya wa kumtaja mtu kwa tuhuma hadharani pasipo uthibitisho
2. wanyonge waliotajwa hadharani kujua haki zao kikatiba
baada ya kuwataja watu maarufu akiwemo mwenyekiti wa Chadema
3. Wakuu wa Mikoa kujua mipaka yao na namna ya kushughilika na Mambo mbalimbali katika Mikoa yao
4. Nguvu ya Bunge katika kuwadhibiti viongozi wateuliwa na kuilazimisha mamlaka ya uteuzi kutengua uteuzi
5. Ongea faida zingine kwa mwendelezo huo kabla hatujaangalia upande wa hasara zake

Kwa mtazamo wangu naona madhara haya.
1. Alichofanya RC Makonda iankuwa precedent kwa wengine.
2. Majina ya watu yamechafuliwa na naamini hakuna atayewasafisha wale watakaokutwa hawana hatia kwa nguvu ileile iliyotumika kuwachafua. Sheria inamlinda mtu (kuwa not guilty) hadi hapo mahakama itakapomtia hatiani.
3. Inajenga dhana kwamba ukiwa mteule wa Rais hulazimiki kufuata utaratibu wa kisheria uliowekwa katika utendaji wako wa kazi.
4. Kinachoangaliwa ni kuleta ufanisi katika kupambana na madawa ya kulevya na si kufuata utaratibu wa kisheria unasemaje ili kufikia huo ufanisi.
5. Utamaduni kama huu ukikomaa decrees zinaweza kushika hatamu.
 
huyu jamaa akimaliza muda wake hii awamu ikiisha ataenda wapi ? kufanya kaz gani ?
 
Back
Top Bottom