Sakata la Korosho: Waziri wa Viwanda Joseph George Kakunda awavua ukurugenzi Wakurugenzi wawili

Kuanzia Kiranja Mkuu na Wadogo zake Kazi wanazo ziweza na kuzifanya kwa ufanisi ni hizi .
 
Watu wanaajibishwa unashangaa. Wafanyakazi wa Serikalini wamezidi uzembe.

Hatujuiundani wake hatuwezi kulaumu au kupongeza lakini ni muhimu kuweka tahadhali. Huyowa maghala inawezekana kabisa serikali haijawahi kupeleka fedha zaukarabati miaka mingi.Bajeti ya kilimo mwaka jana ilipelekwa kidogo sana wanaopanga priority yamatumizi utakua si yeye lakini tena ndio hivyo. Hii inanikumbusha utumbuaji wa mkurugenzi wa muhimili kwa kuwa MRI ilikuwa mbovu kwamuda mrefu kosa likajajulikana kuwalilikuwa wizarani tena ya fedha.
 
Walikuwa wako busy na ukuta wa Mererani.
 
Siyo! Unateua wabovu wasimamie walio smart!
Niamini watu smart (siongelei certificates tu) wameachia ngazi Serikalini wanafanya biashara au wameajiriwa kwenye makampuni makubwa nje na ndani ya Tanzania. Wale waoga na wenye vyeti vingi lakini results zero wamejaa huko.
 
Waziri wa Viwanda na Biashara, Joseph Kakunda, amewashauri Watanzania kula korosho kwa sababu zina virutubisho vya kurudisha heshima ndani ya ndoa.

Kakunda ameyasema hayo katika mkutano na waandishi wa habari jijini Dodoma leo Mei 16, kuwaelezea maendeleo ya ununuzi wa korosho, ambapo pamoja na mambo mengine amesema hata watu wa mikoa ya kusini wanazaliana sana kwa sababu wanakula korosho kwa wingi.

“Korosho ni kirutubisho kizuri, ni ajabu Watanzania hawataki kuzitumia, zinaongeza virutubisho, na kuongeza heshima ya ndoa.” amesema Waziri Kakunda.

Chanzo: Mtanzania
 
Na bado watatapatapa sana. Waseme zinatibu Kansa na tezi dume wanaweza kutudanganyia
 
Back
Top Bottom