Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Ki sakata ( uchwara ) kidogo cha Kariakoo kimetuonyesha ni kwa namna gani demokrasia inaweza kusababisha usumbufu wa hovyo kwa wananchi!
Hivi ki sakata cha kumalizwa na RC ndiyo kinasumbua watu namna hii?!
Ndugu zangu mambo kama hayo ndiyo yanatufanya tuendelee kumpa Magufuli maua yake! JPM changamoto ndogo kama hiyo ingetatuliwa na simu moja tu yenye suluhisho la kudumu ndaniye huku wale wote waliosababisha wangekuwa wanacheka na wake zao majumbani mwao.
Siyo siri SAKATA HILO CHANZO NI UZEMBE WA MTU WA ELIMU YA MLIPA KODI AMBAYE yupo chini ya Kamishna wa TRA. Sasa hadi mda huu KAMISHNA WA TRA ANABAKI OFISINI KUFANYEJE?!
MAMA PUNGUZA UPOLE BWANA NA WAJIBISHA KUANZIA KAMISHINA HADI MENEJA WA MKOA WA KIKODI WA KARIAKOO MAISHA YAENDELEE KWA SABABU WAWILI HAO ( TRA NA WAFANYABIASHARA WA KARIAKOO ) HAWAAMINIANI TENA.
NI UWENDAWAZIMU DOLA KUSHINDWA KUTATUA KI MGOGORO UCHWARA CHA NAMNA ILE LEO IKIWA NI ZAIDI YA MASAA 40!
Ushauri:
Rais Samia mtume RC Chalamila pale KARIAKOO nyanyua simu mpigie live ukitamka KUMWONDOA MENEJA WA TRA WA MKOA WA KARIAKOO KIKODI VILEVILE WAAMBIE WAFANYABIASHARA WAENDELEE NA BIASHARA ZAO KUPITIA UTARATIBU WA AWALI HADI UTAKAPOTOA MWONGOZO MWINGINE. CASE CLOSED NA MAYOWE KAMA YOTE YATAPIGWA PALE HUKU MADUKA YAKIFUNGULIWA KWA HARAKA!
Mgogoro huo hauwezi kutatulika haraka kisheria. Sasa ili maisha yaendelee ni wajibu wa Rais Samia kuutatua ki siasa ili maisha yaendelee huku utatuzi wa kisheria ukifanyiwa kazi.
JUST LIKE THAT!